black abdu
Senior Member
- Dec 2, 2022
- 157
- 214
Wewe binti wa kisukuma umenishinda tabia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana, nimepiga picha jinsi mtu kalewa...halafu anaimba Yesu nipende leo kuliko jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dunia na vyote vilivyomo ni vya Mungu....utasemaje bar ni sehemu ya shetani.
Kuna ule wa "Yesu unipende leo kuliko jana", ukipigwa halafu vyombo tayari vimekolea unatamani hadi kumpa dj hug.
Mara ya mwisho hili songi nimepigiwa pale mianzini A town december mwaka jana sijui baa gani ile....aseee vyombo vimekolea yani niliinuka kwa utamu niliinjoi mnoo halafu akamalizia na mkono wa bwana alooooo acha tu.Wewe binti wa kisukuma umenishinda tabia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana, nimepiga picha jinsi mtu kalewa...halafu anaimba Yesu nipende leo kuliko jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mianzini mataa pale?Mara ya mwisho hili songi nimepigiwa pale mianzini A town december mwaka jana sijui baa gani ile....aseee vyombo vimekolea yani niliinuka kwa utamu niliinjoi mnoo halafu akamalizia na mkono wa bwana alooooo acha tu.
Sijui kanaitwaje na hivi ilikua night, tulifika tukakuta wanapiga live band moja tamu sana kwakeli....nilifurahi kuwa pale.Mianzini mataa pale?
Mbona hakuna bar ya maana pale au kale ka mianzini club?
Siku hizi kamefungwa
π€£π€£π€£π€£Kaka nlikuwa naload hapa mianzini mataa itakua bar gani? huyu itakua kaingia tu sehemuMianzini mataa pale?
Mbona hakuna bar ya maana pale au kale ka mianzini club?
Siku hizi kamefungwa
Mwenyeji wako alikwama kukupeleka hata Andrew's au The Don ukafurahie viwango?Sijui kanaitwaje na hivi ilikua night, tulifika tukakuta wanapiga live band moja tamu sana kwakeli....nilifurahi kuwa pale.
Wacha magugu na ngano yamee pamoja. Wakati wa mavuno magugu yatatengwa na kupigwa kiberitiKusema ukweli huwa nakereka sana kusikia nyimbo za dini, zinapigwa kwenye sehemu za starehe, hasa Bar. Sehemu hizi ni sehemu Shetani na jeshi lake wanafanya kazi zao kwa ufanisi, na anaona ni kama kuikosea heshima dhana ya kuwa nyimbo za dini ni sehemu ya kuabudu...
Pale mataa kama unapanda kale ka rough road kulikuwaga na Mianzini club kaliwika sana, kalivuta wengi lakini hivi karibuni kamefungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaka nlikuwa naload hapa mianzini mataa itakua bar gani? huyu itakua kaingia tu sehemu
Aya kapike ugali nakuja na mboga waliπ πDunia na vyote vilivyomo ni vya Mungu....utasemaje bar ni sehemu ya shetani.
Kuna ule wa "Yesu unipende leo kuliko jana", ukipigwa halafu vyombo tayari vimekolea unatamani hadi kumpa dj hug.
Wewe binti wa kisukuma umenishinda tabia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana, nimepiga picha jinsi mtu kalewa...halafu anaimba Yesu nipende leo kuliko jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au hata mwenyeji angemsogeza The Hubb ama PillarsMwenyeji wako alikwama kukupeleka hata Andrew's au The Don ukafurahie viwango?
Labda "Matako bar" maana hakuna bar yenye live band eneo lile.π€£π€£π€£π€£Kaka nlikuwa naload hapa mianzini mataa itakua bar gani? huyu itakua kaingia tu sehemu
Hapana hata hatukupita rough road wala haiitwi mianzini na ni sehemu tu nzuri mie sio mwenyeji hukoPale mataa kama unapanda kale ka rough road kulikuwaga na Mianzini club kaliwika sana, kalivuta wengi lakini hivi karibuni kamefungwa
Kula CHUMA π₯π₯π₯ IkoooYesu unipende leo kuliko jana