EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
- Thread starter
- #141
Poa ngoja niipitiePost #15
Poa ngoja niipitiePost #15
Hii post ndio iliyotoa majibu yote
Poa mkuu ila Edit neno mungu liwe MunguTatizo sijui ni watu au dini zenyewe zinakua biased ila ukienda kwenye ukweli watu wa namna hiyo ndio wanahitaji zaidi neno la mungu kuliko waliopo makanisani na misikitini
Injili inahubiriwa kwa walio potea sio kwa walio okokaLeo nikasema acha nikasafishe macho club baada ya kukosa usingizi huku ugenini nikaona niende sehemu yenye kelele karibu na nilipofikia maana nazisikia.
Kufika nikaona kumekucha balaa watu wamejazana kama hakuna zuio la mikusanyiko kwa nchi nzima. Au walimaanisha mikusanyiko ya KATIBA tu???
Anyway nirudi kwenye mada nikiwa hapa club ambapo ndio naandikia uzi huu saivi, Dj anachanganya ngoma za circular na za Dini. Sasa najiuliza hii ni Sawa ? Maana naona waliopo club VIBE linazidi kila likipigwa goma la Dini.
Nakumbuka wakati naupokea mwaka huu saa5.59 pia nlikua Bar ikapigwa ngoma ya Nimeuona Mkono wako Bwana by Zablon
Halafu mwanaume unapata wapi ujasiri wa kucheza juu ya meza?? Huu ni upuuzi sana
Maoni yenu wadau
acha mkuu tukumbushwe kuhusu MunguHuo ni mkesha kama mikesha mingine wacha Mungu aabudiwe kwa style tofauti.....ila hakuna biti kali club au bar kama HAKUNA MUNGU KAMA WEWE
Everyday is Saturday................................
Amina mkuuInjili inahubiriwa kwa walio potea sio kwa walio okoka
Upo Mbeya eenh?Leo nikasema acha nikasafishe macho club baada ya kukosa usingizi huku ugenini nikaona niende sehemu yenye kelele karibu na nilipofikia maana nazisikia.
Kufika nikaona kumekucha balaa watu wamejazana kama hakuna zuio la mikusanyiko kwa nchi nzima. Au walimaanisha mikusanyiko ya KATIBA tu???
Anyway nirudi kwenye mada nikiwa hapa club ambapo ndio naandikia uzi huu saivi, Dj anachanganya ngoma za circular na za Dini. Sasa najiuliza hii ni Sawa ? Maana naona waliopo club VIBE linazidi kila likipigwa goma la Dini.
Nakumbuka wakati naupokea mwaka huu saa5.59 pia nlikua Bar ikapigwa ngoma ya Nimeuona Mkono wako Bwana by Zablon
Halafu mwanaume unapata wapi ujasiri wa kucheza juu ya meza?? Huu ni upuuzi sana
Maoni yenu wadau
Hapana Dodoma mkuuUpo Mbeya eenh?
Karibu Bambalaga MkuuLeo nikasema acha nikasafishe macho club baada ya kukosa usingizi huku ugenini nikaona niende sehemu yenye kelele karibu na nilipofikia maana nazisikia.
Kufika nikaona kumekucha balaa watu wamejazana kama hakuna zuio la mikusanyiko kwa nchi nzima. Au walimaanisha mikusanyiko ya KATIBA tu???
Anyway nirudi kwenye mada nikiwa hapa club ambapo ndio naandikia uzi huu saivi, Dj anachanganya ngoma za circular na za Dini. Sasa najiuliza hii ni Sawa? Maana naona waliopo club VIBE linazidi kila likipigwa goma la Dini.
Nakumbuka wakati naupokea mwaka huu saa5.59 pia nlikua Bar ikapigwa ngoma ya Nimeuona Mkono wako Bwana by Zablon. Aisee tulishangila balaa
Halafu mwanaume unapata wapi ujasiri wa kucheza juu ya meza?? Huu ni upuuzi sana
Maoni yenu wadau
Ndo nlikua hapoKaribu Bambalaga Mkuu
Mkono wa Bwana, Hakuna Mungu, I know who i am....ongezea😀.Ndo nlikua hapo
Dah acha kabisa aisee1.Nimeuona mkono
2.Hakuna Mungu kama wewe
3.Wewe ni mungu-Dady Owen
4.shusha Nyavu-Christina shusho
Baadhi ya ngoma watu huburudika nazo klabu
Mi narudi J5 aisee sijamaliza kilichoniletaMkono wa Bwana, Hakuna Mungu, I know who i am....ongezea.
Leo siku ya mwisho turudi Dar kusikiliza utawala uliooza utatuelekeza nini kuhusu Mbowe na wazalendo wengine.
Tukutane tena weekend ijayo
Tena pale mlangoni ili kila aingiaye akuonesio kula msikitini kweli?
Tena pale mlangoni ili kila aingiaye akuone
Hakuna ubora hpo club kupigwa nyimbo za dini ni kumdhihaki mungu.wala usitetee huo upuuzi mkuuBora uwe club ukumbuke kanisani kuliko kuwa kanisani kukumbuka club. DJ anawakumbusha hapo. Afu Mungu yu mahali popote
Uislam hautaki huo upuuzi.Mkuu huku sio poa sijasikia Kaswida ujue japo kuna ngoma ya.kiislam ila imeimbwa na wahindi wamwvaa Kanzu na vilemba ndio ilipigwa (DVJ)