Nyimbo za dini kupigwa club hii imekaaje?

Zipigwe Tena kwa sanàà!
Tena ingependeza iwe kama kuna sehemu kule Moshi ikifikia muda ule Malaika Gabriel Alipo Mpa Habari Maria Kumzaa Yesu!
Kengele Ikigonga vilabuni wanywaji wanaachia kunywa, na kusimama na mmojawapo kuanza wimbo sala wa!; Malaika Gabriel Akampasha Habari Bikira Maria....
INGEPENDEZA
 
Leo nikasema acha nikasafishe macho club baada ya kukosa usingizi huku ugenini nikaona niende sehemu yenye kelele karibu na nilipofikia maana nazisikia.

Kufika nikaona kumekucha balaa watu wamejazana kama hakuna zuio la mikusanyiko kwa nchi nzima. Au walimaanisha mikusanyiko ya KATIBA tu???

Anyway nirudi kwenye mada nikiwa hapa club ambapo ndio naandikia uzi huu saivi, Dj anachanganya ngoma za circular na za Dini. Sasa najiuliza hii ni Sawa ? Maana naona waliopo club VIBE linazidi kila likipigwa goma la Dini.

Nakumbuka wakati naupokea mwaka huu saa5.59 pia nlikua Bar ikapigwa ngoma ya Nimeuona Mkono wako Bwana by Zablon

Halafu mwanaume unapata wapi ujasiri wa kucheza juu ya meza?? Huu ni upuuzi sana

Maoni yenu wadau
Walioenda baa nao wana akili kama zako..walipofika walishangaa uwingi wa watu ukiwamo wewe kwenda baa bila kujali korona.
 
Kuna siku nilijichanganya club moja hapo mabonenng Johannesburg wakaweka nyimbo za dini mbili mfululizo tena wanaziimba bila hata kuelewa maana yake mwimbo wa " hakuna Mungu kama wewe" na nimeuona mkono wa bwana...nilifarijika sana ingawaje niliusikiliza sehemu sio..
 
Leo nikasema acha nikasafishe macho club baada ya kukosa usingizi huku ugenini nikaona niende sehemu yenye kelele karibu na nilipofikia maana nazisikia.

Kufika nikaona kumekucha balaa watu wamejazana kama hakuna zuio la mikusanyiko kwa nchi nzima. Au walimaanisha mikusanyiko ya KATIBA tu???

Anyway nirudi kwenye mada nikiwa hapa club ambapo ndio naandikia uzi huu saivi, Dj anachanganya ngoma za circular na za Dini. Sasa najiuliza hii ni Sawa ? Maana naona waliopo club VIBE linazidi kila likipigwa goma la Dini.

Nakumbuka wakati naupokea mwaka huu saa5.59 pia nlikua Bar ikapigwa ngoma ya Nimeuona Mkono wako Bwana by Zablon

Halafu mwanaume unapata wapi ujasiri wa kucheza juu ya meza?? Huu ni upuuzi sana

Maoni yenu wadau
Kiufupi ulienda eneo ambalo jina lake halisi panaitwa UVULI WA MAUTI
 
Mkuu mwakampya ulikua bar leo tena umeenda unapenda sana kuwa bar hadi ukiwa ugenini hivi umesikia kilichotokea lemax bar dar? Alafu kupigwa hizo nyimbo ukute roho wa bwana anataka kusema naww
Amina mkuu I need a turn back, please pray for me
 
hii inamaanisha Mungu kawa msela,tumechelewa sana wenzetu wa Afrika ya Kusini wameyaanza haya zamani sana!
Nalog off
 
Zinapigwa kwa sababu ya ukamilifu wa unabii kwamba ni sharti injili ihubiriwe kila mahali kama ushahidi kwenu walevi ndipo ule mwisho utakuja. Mathayo 24:14.
Hakuna kitu kinachotokea bila sababu humu duniani.
Amina mkuu umenena kweli kabisa
 
Back
Top Bottom