Nyimbo za dini kupigwa club hii imekaaje?

Leo nikasema acha nikasafishe macho club baada ya kukosa usingizi huku ugenini nikaona niende sehemu yenye kelele karibu na nilipofikia maana nazisikia.

Kufika nikaona kumekucha balaa watu wamejazana kama hakuna zuio la mikusanyiko kwa nchi nzima. Au walimaanisha mikusanyiko ya KATIBA tu???

Anyway nirudi kwenye mada nikiwa hapa club ambapo ndio naandikia uzi huu saivi, Dj anachanganya ngoma za circular na za Dini. Sasa najiuliza hii ni Sawa? Maana naona waliopo club VIBE linazidi kila likipigwa goma la Dini.

Nakumbuka wakati naupokea mwaka huu saa5.59 pia nlikua Bar ikapigwa ngoma ya Nimeuona Mkono wako Bwana by Zablon. Aisee tulishangila balaa

Halafu mwanaume unapata wapi ujasiri wa kucheza juu ya meza?? Huu ni upuuzi sana

Maoni yenu wadau
Ni sawa kabisa!
 
Hakuna ngoma ya gospel yenye vibe kama Mkono wà Bwana by zabron singers .. club Plus I Know who I am by Sinachi alafu huwa zinapigwa monde lilikiwa limepanda kwa kichwa ile mbayaaaa ani ..

Like hiyo I I know who I am likigongwa monde zinawekwa chini Mikono juu walevi hao 😁😁😁😁😁

Dah I miss those moments ila nowadays nimekuwa mkubwa
 
Hakuna ngoma ya gospel yenye vibe kama Mkono wà Bwana by zabron singers .. club Plus I Know who I am by Sinachi alafu huwa zinapigwa monde lilikiwa limepanda kwa kichwa ile mbayaaaa ani ..

Like hiyo I I know who I am likigongwa monde zinawekwa chini Mikono juu walevi hao

Dah I miss those moments ila nowadays nimekuwa mkubwa
 
Back
Top Bottom