Nyimbo ya AY na Diamond, Zigo

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
39,981
96,229
ebhanaeeeee....
nimepakua hii ngoma just now aiseeee.... pini kali na bit mixer redeem imebamba matata. Video ina watoto wakali hatari, kiukweli video ipo kali mbayaaa ingawa AY kuna some movement anaoneka hafiti na bit.
Lakini kiukweli ngoma ZIGO ni kali
 
Na yale makalio diamond anayapiga huku katoa ulimi nje kama nyoka sijui anamaanisha nini ,?
 
Mhhh.....
Sijui Zari alipoiona hiyo video alisemaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom