Nyimbo mpya kabisaa kwa Simu yako.

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Tembelea www.rogers.wen.ru utapata Nyimbo mpyaaaa za Bongoflava,Injili(Gospel),Hip hop. Pia utapata Kaswida,Bakulutu,Nyimbo Za zamani za Bongo and much More Visit www.rogers.wen.ru
 
i want to inform you that you are breaking the law

ngoja twanga pepeta wamkamate......adhabu yake ni kucheza nyimb zote hapo hapo alipo, hata kama ni nyimbo ishirini. Na lazima azicheze kwa akshi na kuonyesha mvuto kama vile yupo 'come dance with me'
 
Aksante tutatembelea,hao watu wasikutishe kwani wewe nyimbo unaziuza si unaweka watu wasikilize tu tena wasanii ndo wanapenda hvyo
 
Tembelea www.rogers.wen.ru utapata Nyimbo mpyaaaa za Bongoflava,Injili(Gospel),Hip hop. Pia utapata Kaswida,Bakulutu,Nyimbo Za zamani za Bongo and much More Visit www.rogers.wen.ru

hv kwanini huwa hamuweki nymbo za kikatoliki? Wengne tunazpenda jaribuni kutuwekea.
 
They are free

Are they yours? ulitunga? uliimba? how can you allow someone to use another person's property kwa vile tu we hupati pesa kwa matumizi hayo? umeomba ruksa kwa wenye nyimbo kuwa unafanya free file sharing ya nyimbo zao? think about it my friend?
 
nimekuelewa
 
mkuu kuna nyimbo mpya naitafuta cjaiona,imeimbwa na J.martin na Cabo snoop,imekaa kinaigeria hivi....unaweza kuipata....
 
Tembelea www.rogers.wen.ru utapata Nyimbo mpyaaaa za Bongoflava,Injili(Gospel),Hip hop. Pia utapata Kaswida,Bakulutu,Nyimbo Za zamani za Bongo and much More Visit www.rogers.wen.ru

huu ni wizi na wewe ni mwizi kama wezi wengine...tabia ya kukomesha wizi itabadilika kwa kuanzia na wewe kuacha kuiba jasho la msanii wa kitanzania..acha wizi.
 
Kashtaki website zingine kwanza halafu njoo kwangu.. anza na Hulkshare
 
Ok endelea na wizi wako ndo utajua Hulkshare ni nani na wewe ni nani. Na kwa taarifa yako Hulkshare wanaoupload ni artists wenyewe, Hulkshare ina provide nafasi na platform ya kutunza muziki na muutangaza au kuuza, kwa ajili ya wenye muziki, ni wazi huelewi hata unasema nini wala unafanya nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom