nyimbo hizi!!

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Wasalaam wana jamvi!!
Naomba mwana jamvi mwenye nyimbo hizi mbili zilizo katika high quality aziupload nitadownload nimetafuta kwenye net lakini nimepata zilizo na low quality nyimbo zenyewe ni Hoza by Juju Nation na Kwazulu Natal by Mzwakhe Mbuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…