Nyie waswahili

Wonderland Management

Senior Member
May 28, 2014
132
94
Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache
mnaotawala; mnategemea kweli kuwa
mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati
wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa
watasalia wamekaa kimya kwa amani na
utulivu?
 
Back
Top Bottom