Nyie wanawake wazuri

francis kibiki, Uyasemayo yanaukweli ila kwanini kama hakuhangaishi unalalamika.

Nadhani kama mwanaume usiyeyumbishwa na uzuri wa mwanamke.

Tongoza akileta drama acha endelea na mishe zako....hii ndiyo maana ya kutokubababaishwa.

Kutokubabaishwa inamaana unamwona kawaida saana. Huna muda wa kupoteza kuanza kuwaza kakuletea drama.
 
Swala si kuangalia mwanamke huyu ni mzuri ana nyodo au mwanamke huyu ni wa kawaida anafaa kuolewa.

Mbona tunaona wanawake wazuri wengi tu wanaolewa bila tatizo na wanawake wa kawaida nao wanaolewa bila tatizo?. Tatizo lilokuwepo ni watu tu kuelewana na vile wameendana ktk level zao.

Uzur au kutokuwa mzuri hio sio sbb ya mtu kuolewa au kutoolewa, mana wapo wazur wameolewa na hawana nyodo kwa waume zao, cha msingi kikubwa cha kuangalia ni tabia ya huyo mwanamke, vile interest zenu zinaendana na utu wake wa ndani upoje.

Kama yeye amekufanyia nyodo bs jua kuwa amuendani , ameona kuwa humfai na hamfanani kilevel, ss ww katafute level yako, yule ambaye ataona ww una umuhimu wa kiasi gani kwake. Lkn usilaumu eti wanawake wazur watabaki kuchezewa, hiyo kitu hamna, na nyie nyie ndy wa kwnz binti akiwa mbaya mnaanza kumnanga mie siwz oa mtu km yule.
TAFUTA LEVEL YAKO.
 
Hahaha nimecheka saana huu uzi....

Wakuu mna hasira si kitoto.
 
tabia ya wanaume kulalamikia wanawake inakua kwa kasi sana sijui tatizo ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechezea za uso nini mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…