Nyie wanawake wazuri

francis kibiki, Pole sana ndugu yangu japo umeongea ukweli kabisa. Haya mambo yapo sana. Na wanaojiona warembo sana , wanaongoza kwa majuto na kutotambua watu wakweli kwao. Ila wale tunaowaona wabaya ndiyo wanaojitunza sana kwa umakini na ndiyo wanaokutana na neema na bahati za kuolewa na kuwatambua watu sahihi kwao.

Nimeshuhudia baadhi ya warembo kabisa wakijadili na kujishangaa walivyo wazuri na wenye shepu zao za haja ila wakijiuliza kwanini hawaolewi!!!!! Maana kama ni starehe wanakwenda tena wanapata watu wenye uwezo kiuchumi ila wanapogusia masuala ya kuoana tu, wanaume hupeperuka.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah najua kuna mahari umekataliwa sio bure wewe

Sent using i phone x
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ mnafurahisha. Mtoa mada na wenzako poleni.
Sasa, mbona mtaani na kwenye maisha ya kawaida wanawake wazuri, tena wazuri haswa wana maisha yao safi kabisa? Wameolewa, wana watoto, na hawatumiwi na kuachwa? Mtu unajifariji na illusions zako?
Ukiona umeletewa nyodo na mdada mzuri jua wewe ni takataka na ulitaka akukubali hata kama upo hovyo?
Jipangee, tena haswa manake wanafoleni kubwa tu na hukidhi vigezo.
 
Kwamba unataka kutuaminisha kuwa ww ni moja ya hao wazuri ambao mtoa mada anawazungumzia.....Hv unajua wanawake wazuri ww...[emoji848][emoji34] ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wanawake wote wazuri hawapo kwenye serious relationship??

Hili swala la kugeneralize mambo hili ni la kipumbavu kabisa
 

Dawa ya Wanawake wa namna hiyo tunaijua sisi wakina Joka.

By then Mimi napenda mwanamke mzuri.

Ila kigezo cha pili baada ya uanamke ni kuwa awe bikra.

Uzuri bila bikra ni sawa na Tunda bila ganda lake.

Limeliwa na nzi, Limepigwa na vumbi,

Uzuri wa mwanamke ni Tabia.
Tabia= Bikra.
 
mimi huwa napenda kuwaambia vijana wenzangu kuwa wadate level zao ,mfano tu usifikiri leo hii tanasha atamletea nyodo Mondi au eti Beyonce atamletea nyodo jay z kisa tu yeye mzuri ,NO nyodo zinaanza pale ambapo unadate na mtu ambaye sio level zako au ambao mnafanana tu ,yani unataka kudate na mtoto mzuri ambaye mnafanya kazi ofisi moja au wote mpo chuo mnasoma ,never na hapo lazima utateswa tu .MWANAUME TAFUTA HELA NA DATE LEVEL ZAKO.
USIFIKIRI WANAWAKE WAZURI WANARINGIA KILA MTU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah nadhani mmi sio mmoja wa wenzake ,, mtu anadate mtu ambaye sio level zake akipigwa kibuti anakuja kubwabwaja humu .[emoji3][emoji3][emoji3] lamda tumpe task.atafute matajiri wale haswaa matajiri waliooa wanawake wabaya aje atupe feedback hapa ni matajiri wangapi waliooa wanawake wabaya au waliooa wanawake wazuri alafu hao wanawake wanawaletea nyodo then ndo tutajua tatizo ni wanawake wazuri au tatizo ni yeye [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tell them. Wanadhani urembo ni jiwe, wanasahau kuwa wana mwili wa nyama unaozeeka haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…