Nyie Wanawake Mnaopenda Kitonga

Nyie Wanawake Mnaopenda Kitonga

Ukiona hivyo shoga yangu wanaume wamechukua nafasi zetu za vijungu jiko na sisi tumechukua nafasi zao za utafutaji, siku zote anayemchukulia mwanamke kama adui uyo hana sifa za kuitwa mwanaume maana wanawake huchukiana wenyewe kwa wenyewe na kusemana sasa leo Dume zima kila post ni wanawake wanawake wanawake basi awe kama kina Kaoge mvuto tugombanie hao mabwana wa kitonga tujue moja akitusakama tujue tunamvulugia soko
No woman No Cry
 
BOB hakumaanisha hivyo, alikuwa na maana ya wanawake wasilie ila kwa kuwa kiingereza chake kilikuwa kibovu watu walimnukuu vibaya.
Nani amesema mimi nimemkopi Bob???
asee rudini mlikotoka
 
BOB hakumaanisha hivyo, alikuwa na maana ya wanawake wasilie ila kwa kuwa kiingereza chake kilikuwa kibovu watu walimnukuu vibaya.
Nani amesema mimi nimemkopi Bob???
asee rudini mlikotoka
Tukiwahitaji Tutawafata huko huko kwenye sayari yenu...
 
Achana nae huyu kijana atakuumiza kichwa tu,Tufanye yetu na watatoa tu hizo pesa otherwise wanunue vilainishi wajichue na kumong'oana wenyewe kwa wenyewe
Alafu ujue wanawake wengine hamukutokea kwenye ubavu wetu,
Mmetokea kwenye ubavu wa ndama jike
 
Kwan tumekataa? Kila binadamu ana tundu kama huna mawili basi unalo moja njoon na nyie wenye tundu moja ili mfike kitonga njooni mtumie matundu yenu mpate kama tunavyopata sie dada zenu

Again, ukweli unauma[emoji1549]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom