Nyie Wanawake Mnaopenda Kitonga

Nyie Wanawake Mnaopenda Kitonga

Kila mtu atatoka vile alivyapangiwa... kwa upande mwingine kila binadamu anataka mafanikio ya haraka... cha muhimu ni kuchunga tamaa zako tu, zisikupeleke pabaya...
 
Hivyo vingi ni pamoja na kutuponda wanawake? kwa kweli huu ni moja ya unyanyasaji wa kijinsia.
Ifike wakati lazima tuwaambie tu ukweli we mtu wa kutoa mkoko wake kizembe ivo utamuona wapi?
alafu mnalalamika mnachezewa je nyie unavotaka kuchezea pesa zetu mnaona mazuri.
Badilikeni la sivyo mtaishia kuchanua mapaja tu na mnavo vitaka msivipate
 
Umbea woote unaoufanya juu yetu kwetu mafuta tunazidi kung'aa na kunukia, we baki na jasho lako La mstari wa kati
Kiituuuu!!!
hahahh Wakwanza huyo....!!!
 
Kila mtu atatoka vile alivyapangiwa... kwa upande mwingine kila binadamu anataka mafanikio ya haraka... cha muhimu ni kuchunga tamaa zako tu, zisikupeleke pabaya...
Labda uwaambie wewe ndo watakuelewa
 
waachen waendeleee kuwaza kama wanavyo waza sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom