Nyie wanawake mna nini?

Nyie wanawake mna nini?

Nimestaajabu kumsifia kote huko umeenda round mbili Baharia umetuangusha hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee utakuwa wewe ni mmoja ya watu ambao mnaamini kwenda round 5 ndyo kuenjoy au kumkomoa mwanamke!
mapenzi hayako hivyo, unaweza piga hata moja na wote mkawa mme enjoy zaid ya 3 au 4. kawaida yangu kwa usiku mmoja huwa napiga 2 tu ikitokea mata chache 3 ila nadi ya moja yangu kwa mwenzangu nahakikisha ana2 hilo ndyo nazingatia.......

mimi sipigi kama kuku dk1 hapana.....nafanya maandalizi dk45 mpaka saa1, naingia kwenye tunda kwa muda wa dk 30-40' hapo 5 za nini????
 
Fungua ukurasa mpya wa mapenzi yenu, huyo x wake ni wa zaman, cha kufanya mpime HIV, Mimba Na magonjwa mengine usije kubeba mzigo siyo wako.

mmmh! point hapa
 
Nilikutana na Mwanamke Katika Mazingira kama hayo, Siku ya kwanza kukutana tukala tunda kimasihara, Nikawa na wasiwasi kama tutadumu kwenye Mahusiano. Lakini sasa n mke wangu Mwaka wa 5 huu, na tunapendana sana.

Usiogope

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu [emoji848][emoji848] na kiporo wanapasha haya maisha yana kwenda kwa kasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMa umempenda. Mkapime afya zenu, mkiwa safi songen mbele. Anafaa usiangalie mambo ya kizaman demu akusumbue mwaka. Weka ndan
 
Kuna msichana nilikuwa nachat naye kama miezi mitatu sasa, simfahamu kabisa nilipewa namba yake sababu nilikuwa na project iliyokuwa inahitaji wadada , ila bahati mbaya kumbe kwa muda huo alikuwa nje ya dar hivyo akuweza shiriki.

Ila tukawa tunasalimiana mara moja moja kwa ku chat tu (hatujawah ongea wala kuonana) sasa wiki mbili zilizopita tumekuwa tukichat mfululizo saana mpaka tukafikia kutaka kuonana tufahamiane, aliniambia anaishi sinza lakini tukawa tunapisha ratiba zetu............

Jumapili nilikuwa maeneo ya taifa wakati nachat naye akaniambia yupo tandika anaelekea sinza nikamwomba kama tunaweza onana akasema ana haraka.

Juma3 akanitumia meseji asubuhi mapema saana (sio kawaida yake) ilikuwa salamu nikajibu tukaendelea ku chat.
akaanzaa kuniuliza vitu vyangu vya ndani kama vile, napoishi, kazi na vingnevyo.
baada ya kumjibu akaniambia kuwa saiv hayupo busy saana anaweza fata ratiba yangu tukaonana, nikamwambia kama anaweza aje officen akaniambia kwa officen hapana iwe nje ya office.
Juma 4 akanitafuta by saa 5asubuhi akaniuliza kama tunaweza onana nikamwambi tukutane air port saa 12 jioni (sababu nilikuwa na ratiba ya kwenda hapo) akasema sawa

Mimi nilifika saa 11:20 nikafanya kazi zangu mpaka saa 1 kasoro nikawa nimemaliza (muda wote alikuwa kimia tu) baada ya kumaliza nikampigia hapatikani nikatuma meseji hayupo hewani nikasubiri mpaka saa moja na robo nikaondoka.

Saa 4usiku nikiwa home akanitumia mesji kuomba msamaha kuwa simu yake iliziam chaji akiwa njian akaamua kurudi (nikajua kuwa ni swaga tu za wadada wa mjini) nikamwambia sawa akipata muda siku nyingine aniambia yeye akasema any time tunaweza onana kwa kesho yake (juma5 / Jana)

Jana nilipofika ofisini nikafanya kaz zangu kwenye saa 4 nikamtumia meseji kumsalimia na kumtaka tuonane akaniambia sawa na akauliza location.

Mimi kwa utani wangu nikamwambi kwa sababu alinigandisha airport basi aje nyumbani na yeye akaitikia kama utani utani tu, tukaendelea ku chat na kupeana location za kufika kwangu huku tukicheka cheka na utani wa hapa na pale.

Saa 8 mchana akaniuliza muda gani mzuri wa yeye kuja, nikashangaa kidogo ila nikaona kama utani, nikamwambia nitakuwa home kuanzia saa 12 jioni, kweli saa 12 na nusu nilikuwa home nikiwa nishasahau kabisa na nikiwa nimechukulia kama utani tu,

Saa 1 na robo hivi nikiwa na wadogo zangu tunapiga story mbili tatu ndani na kamvua kanapigia nikaona simu yake kupokea akasema "nimeshafika hapa kituoni kuna mvua sioni hata pkpk'' nikamuuliza serious akaniuliza ''kwani wewe ulikuwa unatania?''

Nikamuuliza mazingira yalivyo akanieleza nikaamini kweli amefika nikatoka ili nimfate, wadogo zangu wakaniambi twende wote tukaingia kwenye gari tukaondoka.

Kituoni palikuwa na watu wengi kidogo maana walijificha mvua nikapaki pembeni nikampigia akasema kaona gani anakuja.

Sekunde kadhaa nikaona mtu anafungua mlango akaingia mbele akakaa nilishindwa kumwangalia sana sababu nilikuwa na wadogo zangu na kagiza giza ila kwa ukweli ni msichana mzuri ana shep nzuri anaonekana mpole na mstaarabu saana

Tukafika home nikamkaribisha ndani baada ya story kadhaa dada akatenga chakula tukala pamoja na stori zaidi, cha kunifurahisha ni mchangamfu saana na hata angekuja mtu asingejua kama kuna mgeni pale....

Nikawa nasubiri binti aage mpaka saa 4 hakuna dalili yoyote, baada ya muda akaniambi ana usingizi anataka kulala nikamwambia sawa na kumuuliza atakuwa na amani akilala chumbani kwangu?? akajibu ''Kulala na mwanaume kama wewe unakosaje amani?''

Nikasisimuka sasa ikawa issue namna ya kumpeleka chumbani (wadogo zangu hawajawah mwona mwanamke akilala kwangu au kuingia chumbani)

Nikakaza kiume tukaenda room......
kufika nikamsifia vizuri na kwa nafasi na nikamwona vyema sasa kiukweli ni msichana mzuri karibia kila kitu, amejazia vizuri nyuma, hips na maziwa mazuri havai hata sidiria daahhhhh...

Nikaingia bafuni kuoga nikatoka na yyeye akaingia akatoka ka kanga moja tu ki ukweli nilichanganyikiwa kidogo akapana kitandani akanikumbatia akasema "usuku mwema'' mzee nikawa hoi nikaanza papasa......nikagusa kona zote mtoto akahema kwa mwendo kasiii akaanza jinyonga nyonga kama nyoka tukaingia ulimwengu wetu mwingne kimasiharaaaaaa (nikala tunda)

Pa kusifia nisifie tu mtoto yupo vizuri kwa ukweli very flexible baada ya kumaliza kapitiwa usingizi akashtuka baada ya kama dk20 ananikiss na kunipa asante nyingi saana - tukalala

Asubuh alam inaita akaenda mezan aka mute akarudi kitandani akalianzisha dudee nikapiga cha saa 12 (hiki kilikuwa kitam zaid maana alijiachia zaidi)

Tukaoga nikatoka naye mpaka maeneo flan akapanda pikpk akaondoka mm nikaenda officen

Nilimpa 30,000 ya pkpk akapokea akasema asante. saa 3 leo hii akaanza kutuma meseji nyingi za kunisifia na kuonyesha anataka tuwe kwenye mahusiano ya kudumu.

Nikamuuliza anaishi na nani akasema kuanznia jana alikuwa amerudi kwao ila siku zote sinza alikuwa nanaishi na boy wake ambaye amemwita x....... nikajisikia vibaya kidogo

Juzi tu aliniambia anaenda kwake sinza (anakoishi na boy wake ) Leo asubuh anamwita X ????

Nikamuuliza zaidi akaniambia wameacha ila juzi alifata vitu vyake tu, nikamwambia sawaa

Swali nalojiuliza: kwa mazingira tuliyokutana anafaa kweli kuwa katika mahusiano seriou?? na mbona kama mrahisi saana (unakutana na mwanaume siku moja tu unalala naye?)

Hata mm pia na makosa ya kukutana naye siku moja na kuvunja amri ya 6 ila kuna utofauti kidogo wa kike na kiume hapo.
pia najiuliza ama tumekutana kwa bahati mbaya labda ana stress au ugomvi na huyo mwanaume wake nini??

Nimeandika sana nitaendelea part 2
fucvk the bitch and fucvk her again but never make a permanent love for her. Hivi unawezaje kuachana na mpenzi ulikuwa unaishoi naye ndani ya siku moja ushapata bwana na kusex naye mkuu jitafakari
 
Ushauri wa bure.

Nenda kapime ukimwi usije sema hukuambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIMWI UPO...na unaua kila kuchapo............usiwaingize ndugu zako na familia ktk majonzi ya MILELE...... hakuna kitu kinauma kama kuumuuguza ndugu yako wa damu till she/he passed away........maumivu hayaishi......jitahidi utumie kinga mdogo wangu..........mahaba MATAMU.......ila maisha ni matamu zaidi.
 
Back
Top Bottom