Nyie wanawake acheni kututega wauza maduka

Kuna jamaa yangu alifungua duka kubwa kweli la mahitaji ya nyumbani mtaani hapa, duka likawa linakua tu, akaja kupata mchongo akamuachia mdogo wake wa kiume ye akasafiri kama miez 6 ivi, aisee alikutana na ma shelf tu hakuna kitu

Kuanza kupeleleza akaambiwa dogo alikua na madem kama wote na mashangazi kibao Yani, duka likawa self service kwa wanawake.... Mwanamke ukishamtia akija dukani kwako anachukua vitu hatoi hata mia mbovu

Biashara ya duka mwanamme inatakiwa uwe kauzu zaidi ya dagaa
 
Mkuu huyo sio kosa lake atakuwa alizidiwa kete
 
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja alikuwa ananiomba nimsindikize, kwa mtaalamu yaani ukiweka hiyo dawa nakudekia kwako kila mteja anayekuja ananunua hata kama alikuwa anamtega lazima aondoke nakitu ila sasa mie siijui watu kama hao wafanyabiashara ndio wanaijua na sijui kama watasema mie sikuwa na biashara so sikuwa nauliza . So ningumu kujua
 
Hapa pana utanitag
 
Back
Top Bottom