Duuh! Ivh kwani wewe ni Jinsia "Less" unavyosema wanaume tunalalamikiwa na wewe ukajiexclude??
Haya ujumbe umenifikia!!
Ngoja nikatafute panga langu lipo chini ya uvungu nikalinoe kwa mjomba nchumali niweze kata hayo makucha.
mie situmii kucha mjomba, napiga deki na ulimi wangu uliozoea kukutana na mahindi ya kukaanga na si chipsi na burger sijui pizza so upo rafu, shemeji yako halalamiki katu, always anakinga sahani tena na tena akidai Once more!!
Hongera Askari wangu jitume! Maisha yenyewe mafupi haya!