Nyie wakazi wa Kiborloni......

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,320
18,838
Hii kitu imehamia wapi.......?...
Nimeitafuta sana juzi juzi bila mafanikio.......
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    25.3 KB · Views: 73
Hii kitu imehamia wapi.......?...
Nimeitafuta sana juzi juzi bila mafanikio.......
Ukitokea Njiapanda-baada ya Marenga Supermarket kuna ka bus stand....ukichungulia kwa chini utapaona....same name.....na kuna chimney ya mapipa mengi yameunganishwa....kitimoto hoyee!!
 
Ukitokea Njiapanda-baada ya Marenga Supermarket kuna ka bus stand....ukichungulia kwa chini utapaona....same name.....na kuna chimney ya mapipa mengi yameunganishwa....kitimoto hoyee!!

Wewe ndio rafiki wa ukweli kwenye hii forum.......unaenijali na kujali mambo yangu.......
Ubarikiwe sana......
 
Back
Top Bottom