kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,508
- 4,362
nimedanganya nini mkuu?nenda hapo ubungo kama utapata usafiri wa hukoMkuu acha uongo alafu punguza sifa.
Mkuu acha uongo alafu punguza sifa.
mtu ukisema ukweli,unaitwa mpenda sifa.wabongo tuna matatizo sana kwa kwelihalafu nyie wachaga siku hizi sijui mmekuaje,mmekua na misifa kama wahaya,wewe mleta mada utakua ni mchaga umeamua kuuleta huu uzi hapa makusudi ili kurusha watu roho tu..eti flights zote zimejaa, nimetoka kwenye website ya air Tanzania sasa hivi,seat ziko kibao tu. usitake kuhadaa umma.
bora umenisaidia mkuu,maana niliishaanza kuonekana natafuta sifa humuNi kweli kuna jirani yangu alienda kukata ticket bus J3 ya tarehe 16 Dec alikosa basi akapata mabasi kesho tarehe 23 Dec. Wenye pesa wanaenda kula na wa kwao na kwenda kuimarisha uchumi wa kwao. Hiyo multiplier effect ya Expenditures. Keep it up shem zangu.
Nimekuja home nikakuta jirani yetu mchaga kabeba watoto wote kawapeleka Rombo, kamuacha mumewe mgogo maskini hana sauti juu ya mke. Ukilinganisha uwezo wao kiuchumi ni maskini, wanakula mlo mmoja kwa siku (ninachosema namaanisha). Na ni tabia endelevu hii kila mwaka anafanya hivi. Mume ambaye kwao Dodoma anamchukuaga mtoto mmoja na kwenda nae na hakawii kule, huyu mke anakusanya wote. Mke kama huyu si bora niwe single tu
Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Wewe Kama umeasi kwenu baki hapo hapo ulipoKwani lazima kwenda kwa pamoja Kama nyumbu wanavyohama kati ya Kenya na Tz.
HII NI KAULI YA MTU AMBAYE HAENDI KWAO NA HUYU KWAO KAMA SIO KIGOMA BASI NI MANDAKwani lazima kwenda kwa pamoja Kama nyumbu wanavyohama kati ya Kenya na Tz.
Mwaka una miezi 12. Kwenda nyumbani December tu kwa pamoja hakuna tofauti na kitendo maarufu pale North Mara.Wewe Kama umeasi kwenu baki hapo hapo ulipo
Maana hata hujajenga kwenu kwa hiyo unafikiri utaenda kulala wap Choo cha shimo nyumba ya nyasi
Usionee wenzako wivu nenda kwenu
Mwaka unaishi hujaenda kwenu Au Ndiyo Wazee wa ushirikiana uchawi Eeh waganga lami ipo Mkoan tuu
Achen ujinga jenga kwenu Uwe unaenda huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kufa haraka oa mchagaNimekuja home nikakuta jirani yetu mchaga kabeba watoto wote kawapeleka Rombo, kamuacha mumewe mgogo maskini hana sauti juu ya mke. Ukilinganisha uwezo wao kiuchumi ni maskini, wanakula mlo mmoja kwa siku (ninachosema namaanisha). Na ni tabia endelevu hii kila mwaka anafanya hivi. Mume ambaye kwao Dodoma anamchukuaga mtoto mmoja na kwenda nae na hakawii kule, huyu mke anakusanya wote. Mke kama huyu si bora niwe single tu
Sent from my PBCM30 using Tapatalk