Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 562
- 1,565
Walegezane huko wakubwa kwa wakubwa, hatari sana hii.Msilegeze watoto
LBTQ at work! Usikute bank account ishasoma!!!!Kama hii ndio kauli hatari sana kwa taifa hili
Kuna clip Moja ya baba wa taifa 🇹🇿 inaeleza....Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”
Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Kwa kauli kama hiyo mkuu kuna lakujiuliza kuhusu msimamo wa taifa kwenye hii issue Westerners wanayoing'ang'ania?🤣LBTQ at work! Usikute bank account ishasoma!!!!
safi safi safi safi .. unakitu mkuuTumeamriwa kuombea wakuu walio juu yetu na wenye mamlaka ko badala ya kulalamika omba toba na Rehema juu ya nchi na viongozi wako ili