DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Mwana kasemaje maana kifrenchi hakipandi kabisa.Tuandikie kwa Kifaransa na sisi tutafsiri ulichosema kua akiacha Asec Akija Tanzania atafurahi kuchezea simba.
Iandike kwa ki Faransa
Simba Tanzanie, un jour on verraTuandikie kwa Kifaransa na sisi tutafsiri ulichosema kua akiacha Asec Akija Tanzania atafurahi kuchezea simba.
Iandike kwa ki Faransa
Mwaka huu mtaongea kila sentesiMi media ya kimchongo,ya kinafiki na kilimbukeni...yenye wivu na kisukununu kwa Simba...
Mwaka unaisha hivyoo au bado kwako ni january...Mwaka huu mtaongea kila sentesi
Bongo kila kitu kinaendeshwa kimchongo😁
Kweli kabisa. Yaani kashindwa kuweka pembeni hisia zake binafsi katika maudhui ya kamedia kake hadi wanapotosha kihuni hivi?Mi media ya kimchongo,ya kinafiki na kilimbukeni...yenye wivu na kisukununu kwa Simba...
Hata ingekua December 30 January ni mbaliMwaka unaisha hivyoo au bado kwako ni january...