Msile kitu chochote kichukizacho. Wanyama mtakaokula ni hawa ng`ombe,na kondoo na mbuzi, kulungu,paa,kongoni na mbuzi mwitu ,paa mweupe ,pofu na mbuzi wa mlima na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato,ukapasuka ukwato wake zikawa mbili ,naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena,katika wanyama wote ndiye mtakayemla. Lakini hawa msile katika wale wenye kucheua , na hao waliopasuliwa ukwato, ngamia, na sungura, na kwang`a, kwa kuwa hucheua lakini hawakupasuliwa ukwato, ni najisi kwetu na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui. huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse. Mtakula hawa katika wote walio walio majini. na kila kilicho na mapezi na magamba mtakula. na kila kisichokuwa nana mapezi na magamba msile ni najisi kwenu. Swali kwenu Waislamu safi ambao hamna dhambi hata chembe ni wangapi kati yenu ambao hamli ngamia,sungura samaki aitwaye kambale .