Nyeti kung’ang’ania kwa mke wa mtu, inakuwaje?

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,173
Ndugu, hii ni hadithi niliyoisikia kwa muda mrefu. Sasa naiona kwenye youtube ikiwa imetokea huko Kenya. Ktk kuulizia nimeambiwa ni matukio ya mara kwa mara ktk kanda ya Tanga, Moshi, Arusha na maeneo ya Kenya,

http://www.youtube.com/watch?v=CwLHbGcae2E
http://www.youtube.com/watch?v=CwLHbGcae2E

Hebu nipeni uzoefu wenu. Inakuwaje? Kinachong’ang’ania ni nini? Ni nyeti zenyewe au mwili kwa ujumla? Au kuna kurukwa na akili? Maana kama unaweza fungua hiyo link utoe assessment yako. Faida yake inaweza kuwa ni upuuzi lakini naona ngono bado ni jambo la kutafuta kwa gaharama yoyote uwezayo.

Kwa kampeni za sasa za kutumia kondom, bado munaweza ng’ang’aniana?
 
What if ni waganga wanajitafutia soko kwa ku aarange hiyo kitu?
 
Kuona ni kuamini mkuu,subiri labda imtokee jamaa yako au wewe mwenyewe.
 
Hahahaaaaa! Hilo ni TEGO LA PWANI!!!! Ukitegewa lazima unaseeeee! Inakuwa hivi, Mwanaume kama anamuhisi mkewe ananunu kisu kipya na ala(mfuko wa kisu)yake, anaenda kwa Manyaunyau!!!! Mganga sasa anachomoa kile kisu kwenye ala yake na KUKIFANYIA NDUMBA NA TUNGURI TUNGURI. Akimaliza anampa yule mwanaume ila haviunganishi, kisu peke yake na ala peke yake. Mwanaume akifika nyumabani anaweka Ala juu ya meza, afu kisu anatoka nacho njee, afu anamuita mkewe. Anamwambia wife nichomekee hili Bisu pale kwenye Ala yake chumbani. Akichomekaaa! BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSSSSSSS!!!!!!! TEGO HILO LILISHAJITEGA!!! Akifanya tuuu! WANANGANGANIANA HADI AJE ACHOMOE KILE KISU YEYE MWANAUME PALE KWENYE ALA!!! Akichomoa tu wanaachana! HAPANA CHEZEA TEGO LA PWANIII! Nina shosti yangu mumewe muuza magari afu hakopeshi, kila mtaa anagawa dozi, toka awekewe hili TEGO kwisha habari yake!!! Saa kumi kasorobo jioni, keshaingia nyumbani kwenye shuka!!! MJINI MIPANGOOO! ILA MIMI SIAMINI ETI HAYA MAKITU!!!!!!
 
tengo zipo za aina nyingi sana hii ni moja lakini ipo zipo nyingine za kuvimba tumbo (wakerewe,wajita, wakara) na si hivyo tu hii ya kung'ang'ania si pwani tu kada zote imesha tapakaa. kuna dogo mmoja alikuwa najisifia anatembea na mke wa mtu amepost thread hapa kweli hajui ila siku ikifika patachimbika na niaibu pengine hata kifo
 
Huko Mtwara niliwahi sikia kuwa ukitembea na mke wa mtu unakojoa dagaa..
 
Back
Top Bottom