Nyerere

Sina hakika kama Tanzania itakaa ipate rais mwenye maarifa na akili nyingi kama huyu kwa huku tunakoelekea.

Tutakuja kuwa na viongozi wenye vichwa vizito sana wasioweza hata kujenga hoja mbele za watu na wakaeleweka ni kitu gani wanasema.
Mwaka 2019 kuna viongozi wanajibu hoja kwa mitutu ya bunduki. So ashaming
 
Lukesam umeongea ukweli
Kuna mtia nia mmoja mwaka 2015 alisema ni vizuri wagombea wakajitokeza na kukafanyika mdahalo wakapimwa kwa lugha zote za kiserikali ili kupata rais mwenye uelewa mpana na mwenye uwezo wa kujenga hoja. Nafikiri aliona mbali na alikuwa sahihi.

Mwalimu alikuwa kichwa, huwa nasikitika sana nikisikia watu wanamlinganishalinganisha, sijawahi kujua ni katika lipi haswa.
 
Kwaheri kambarage Julius nyerere


Tulikupenda ila Muumba alikupenda zaidi.
 
Nakubaliana nawe.
 
Huyu ndy mzalendo wa Kweli.....
Na Imani Mpaka anatoka madarakani acc haikusoma mabilion ya tsh/$
Nyerere angeamua kuwa fisadi mpk Leo hii angekuwa mmoja wa matajiri Duniani?
Ila kwa viongozi tuliyonao Sasa dah
Ni wanafki kupitilizaaaa?????

Ova
 
alipinga marungu mawazo m-badala

Tundu Lissu asinge exist wakati wa Mwalimu
 
Nafikiria angekuwepo leo sijui ingekuwaje
 
Lisu vipi au mpaka awe ccm
 
Sina hakika kama Tanzania itakaa ipate rais mwenye maarifa na akili nyingi kama huyu kwa huku tunakoelekea.

Tutakuja kuwa na viongozi wenye vichwa vizito sana wasioweza hata kujenga hoja mbele za watu na wakaeleweka ni kitu gani wanasema.
Tushampata huyu wa hivi.
 
Haha inaelekea nyie Bado hamjazijua politics za TZ .
Eniwei hatuko hapa kumlamu MTU yoyote Yule.

Ila Nyerere alitushauri tuyachukue mazuri yake na Ku yacha mabaya aliyo yafanya.

Hapa 👆 alikuwa anamaanisha mabadiliko ya katiba ni lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…