britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,206
- 41,757
Yes we dont have to compare him with or against anyoneHiyo picha ya pili ungeangalia haraka haraka ungedhani ni Dr. Martin Luther King Jr.
Yes "the man wa geneous", no doubt about that..
SureBaba Nyerere
Anakaribia daraja la utakatifu
Nikuulize wewe, na kuchokoza niwajuao.Baba wa Taifa letu
That was no comparison.Yes we dont have to compare him with or against anyone
View attachment 1232494
The man was happy all the time, you know why?? .... He was genius ,
View attachment 1232495
The man was Smarter than all, even this one we have in office now,
View attachment 1232496
He didn't pretend to be in line to vote because someone else did it, this was from the inner core of his heart , but others are in line while being in middle of gun men,
Hahahaha aisee swali fikirishi kuna watu wanajifanya ooo nyerere tumemkaribisha mara takadiri mara Sykes mara Bibi titi, kwanini walisubiri mpaka mzee aingie? Kwa kifupi vilikuwapo kama unavyoona KCC Au KCU yaan vya ushirikaNikuulize wewe, na kuchokoza niwajuao.
Asingeingia TANU inayodaiwa ilishaundwa kabla ya 1954, na badala yake akaanzisha chama kingine, TANU ingesimama na kupigania uhuru uliopatikana 1961?
Hivi kabla ya yeye kuingia TANU, chama hicho kama kilikuwepo, Magomeni Mapipa walijua uwepo wa chama hicho kabla ya hapo?
Haya... tuendelee mbele.
Kuna Mwenye mtutu hapo?Nyie vijana wa leo ngoja tuwaelimishe kidogo. Huyo mbele ya Mwalimu alikuwa mlinzi wake wa siku nyingi marehemu Mzee SIMBEYE ; na huyo wapili nyuma ya Mwalimu ni Mzee MGAYA wakati hubo akiwa msaidizi wake!!
Kuna Mwenye mtutu hapo?
Nadhan umemjuaaaSasa hapo umempiga dongo Nani.
Anayesimama kwenye mstari Huku kazungukwa na walinzi wenye mabunduki.
Sina hakika kama Tanzania itakaa ipate rais mwenye maarifa na akili nyingi kama huyu kwa huku tunakoelekea.
Tutakuja kuwa na viongozi wenye vichwa vizito sana wasioweza hata kujenga hoja mbele za watu na wakaeleweka ni kitu gani wanasema.
Nyie vijana wa leo ngoja tuwaelimishe kidogo. Huyo mbele ya Mwalimu [ picha ya tatu] alikuwa mlinzi wake wa siku nyingi marehemu Mzee SIMBEYE ; na huyo wapili nyuma ya Mwalimu ni Mzee MGAYA wakati hubo akiwa msaidizi wake!!
KabisaHapo suala la kulindwa halina ubishi.
Wapo walinzi.ishu alilindwa vipi?
au ndo kila Nabii na zama Zake
Sina hakika kama Tanzania itakaa ipate rais mwenye maarifa na akili nyingi kama huyu kwa huku tunakoelekea.
Tutakuja kuwa na viongozi wenye vichwa vizito sana wasioweza hata kujenga hoja mbele za watu na wakaeleweka ni kitu gani wanasema.