watetezi wa Free market na Capitalism humu JF mara zote wanataka kutuaminisha kwamba mara tu baada ya uhuru kama nchi hii ingefuata kwa ukamilifu sera za kibepari basi leo tungekuwa tunatawala Afrika kiuchumi na kijamii. Lakini ukiwauliza kama ubepari ndiyo muarobaini wa matatizo ya kiuchumi duniani mbona huko ulikoanzia unaporomoka, wanabaki kulalama dhidi ya "unyerere"This is an excellent piece; i hope Mr. Right atakitumia vizuri kuelewa the benefits and limitations of free market in our context, a system which he favours so much bila chujio;
Hiyo point ya mwisho, Nyerere 1977 baadaye, 78,79, vita vya Uganda. Nchi ilikuwa ktk hali mbaya. Kila mtu anajua matokeo ya vita. Hali ilianza ngumu, ndiyo maana Nyerere alianza kupanga exit yake.
Mkuu wangu sasa hapa nachapia kutaka kuunganisha uzi ulokatika.. Shamte alikwenda UN kama mwakilishi wa nchi iliyokuwa huru ya Zanzibar na rais wake alikuwa Jamsheed Ibn Abdullah - ambaye inasemakana ni mrithi halali wa Usultan hata Oman.Mpendwa Joka kuu...nilijua kuna mtu atajibu kama ulivyojibu
Je Nyerere aliposhiriki uchaguzi wa 1958-1959/60 alikuwa/tulikuwa chini ya ya nani?
Nyerere alipokuwa waziri mkuu wa kwanza tulikuwa chini ya nani?
unasema kuwa ni kosa wazanzibar kuwa chini ya sultani ila ni haki watanganyika kuwa chini ya malkia? na influence ya malkia/uingereza kwetu sisi iliondoka lini?
au tungefanya mapinduzi ya kuwa chini ya waingereza...angetokea okello mwingine wa kufanya kilichofanyika zanzibar?
Pia hajui kwamba hata kwa wenzetu walioendelea (US, UK), serikali zilijikita sana katika uchumi, tena kupitiliza hata mwalimu wakati wa ujamaa; Sidhani hata kama anajua role of the government miaka ya nyuma in these industrialized countries of today, hata zile new asian tigers; Pia sidhani kama anamjua John Maynard Keynes; uelewa wake wa mambo in practice ni mdogo sana, ila anajitahidi kuelewa kwenye theories kwenye vitabu, which is good;
Mtu yoyote ambae unapenda uchumi, you need to have a base or school of thought where you belong, kuna so many schools of thought ambazo zipo out there for mtu kutumia to build your argument, yeye hana, anayumba huku, mara kule, kupelekea hoja zake kutokuwa na mashiko;
Swali usilotaka kulijibu na kuendelea na hadithi ni hili:Chama,
Ndiyo maana, nimesema Ujamaa umetufanya tuwe wategemezi. Kama tungekuwa na market economy tungekuwa mbali; kwa sababu kila mtu angetaka kufanya vizuri ili areach level fulani ya maisha. By the way, watu wengi wanakuwa millionaire in USA , ni bidii yako tu.
Swali usilotaka kulijibu na kuendelea na hadithi ni hili:
Katika nchi zilizokuwa na free market kama Kenya na Uganda amabzo tuna mahusiano ya karibu sana kijamii na kitamaduni zimefanikiwa kiasi gani na kwa vipi kuondoa umasikini na maendeleo kwa ujumla ukilinganisha na Tanzania iliyokuwa na ujamaa.
Juma, sijui kama umefuatilia mijadala mingi kwa undani. Kama umefuatilia mjadala wa Mohamed Said ungeelewa watu wanaongelea nini.Hivi umeshawahi ona popote pale duniani kuliko kuwa na maendeleo bila ya political stability, bila ya kuangalia the mode of production. Kwetu Nyerere alifanya kazi kubwa sana kujenga hiki kitu, lakini lawama zinakuja thereafter hapo ndipo mnaposhindwa kuwa wakweli.
Yes he was intelligent hilo halina ubishi, but his long term visions are still open to scrutiny. Hata huyo Deng Xiaoping learned a lot from Mao Zedong, lakini halikubal ukweli wa muda wake hili taifa liendelee his masters ideology had to be scrapped completely na kupunguza hegemony media propaganda.
Kwetu bado ni tatizo kwa sababu a complete approach in socialism is bound to fail na hii ni kwenye mi-nchi ambayo inamisomi kibao, hila tu kwakuwa bado atuna tabia ya kuukubali kweli kwa kupenda kutumia biased propaganda and emotional attachments ndio bado tunabisha kitu ambacho kiko in the open (Mwalimu was a failure).
Amna raisi aliye-mfuata kuwa bora zaidi yake, lakini policies zake, mawazo yake and the style of his governance produced the rest of the failures we witness today (hawa viongozi ni by-product ya mwalimu tu, either luck of patriotism aliyowafundisha au kuja kuweka watu juu pending on loyalty or just may be he wasn't as strict as we are made to believe to everyone except to his enemies and a few examples, simple).
watetezi wa Free market na Capitalism humu JF mara zote wanataka kutuaminisha kwamba mara tu baada ya uhuru kama nchi hii ingefuata kwa ukamilifu sera za kibepari basi leo tungekuwa tunatawala Afrika kiuchumi na kijamii. Lakini ukiwauliza kama ubepari ndiyo muarobaini wa matatizo ya kiuchumi duniani mbona huko ulikoanzia unaporomoka, wanabaki kulalama dhidi ya "unyerere"
Swali usilotaka kulijibu na kuendelea na hadithi ni hili:
Katika nchi zilizokuwa na free market kama Kenya na Uganda amabzo tuna mahusiano ya karibu sana kijamii na kitamaduni zimefanikiwa kiasi gani na kwa vipi kuondoa umasikini na maendeleo kwa ujumla ukilinganisha na Tanzania iliyokuwa na ujamaa.
Unashindwa kutofautisha oportunity tuliyokuwa nayo sisi TZ ni tofauti sana na Kenya ua Uganda. Like I said before, TZ ipo ktk nafasi nzuri kuliko hizo nchi. TZ tuna location nzuri kuliko Uganda. TZ tuna nafasi nzuri ya kufanya biashara kuliko Kenya. Kwa hiyo opportunity yetu ni kubwa sana, huwezi hata kulinganisha na hizo nchi. Kwa hiyo kucompare hizo nchi na TZ, ni sawa na kucompare mbuzi na ngo'mbe.
Sasa kama tungekuwa na market economy, sisi tungekuwa mbali sana kwa sababu hizo sababu nilizokupa na zenginezo ambazo zitachukua page kuziandika. Uganda hawakuwa nafasi tuliyokuwa nayo sisi. Hawana bandari, ardhi yao ndogo. Kenya wamezungukwa na chi ambazo hazina stable government. Please, dont compare Mbuzi na Ngo'mbe.
Pili- Kufa kwa Ujamaa siyo kwamba ndiyo kila kitu kitabadilika. Unashindwa kuelewa hiyo regime ya Nyerere mpaka leo imebakia madarakani. Pamoja na mabadiliko machache yaliyofanywa ktk kipindi cha Mwinyi, bado msingi kamili wa market economy umepotezwa. Viongozi wengi waliopo madarakani ni matunda ya Mzee Nyerere. Bado society yetu inamawazo ya utegemezi (Ujamaa). Market economy inataka foundation, na hiyo itachukua muda.
Hiyo senctensi ya mwisho naona umechanganya mambo. Unasema 1977 Kenya ilikuwa ina nguvu ikaua EAC. Nchi (TZ) ilikuwa haina kitu chochote. Kwa hiyo unakubali kwamba Nyerere alichemsha alifeli?
Acheni mzaha, Ubepari tuliingia wakati mzuri kabisa mwaka 1986, isipokuwa hatukuwa na plan that was a mistake na pili Nyerere aliwakabidhi madaraka wahuni kiasi kwamba mimi nafikiri he did that so that we fail ktk Ubepari kuweza kuonyesha dunia he was right all along maana nashindwa kabisa kuunganisha picha ya Mwinyi na Mkapa wakati alikuwa na vichwa pembeni waliobobea ktk uchumi. Hapa ndipo nashindwa kuelewa urithi huu aliutoa kwa misingi gani lakini kuhusu Ujamaa bob wala sina noma naye kabisa kwani alifanya kilichotakiwa kufanya. kama nilivyosema huwezi kwenda okoa watu Kigogo au jangwani na Meli mkuu wangu unapelekea mtumbwi na ikibidi uvue shati unavua na kuonmgoza wewe iwe kwa nguvu au wasipende maadam lengo ni kuokoa watu.. Tanzania tulikuwa ktk janga hilo na wokozi wake ulihitaji chombo na utawala unaolenga kuokoa watu na sio kufanya maonyesho ama mashindano..
samahani kama kuna makosa ya kiuandishi maana huandika wakati huo huo nafikiri....
Mkuu wangu sasa hapa nachapia kutaka kuunganisha uzi ulokatika.. Shamte alikwenda UN kama mwakilishi wa nchi iliyokuwa huru ya Zanzibar na rais wake alikuwa Jamsheed Ibn Abdullah - ambaye inasemakana ni mrithi halali wa Usultan hata Oman.
Tofauti kabisa na Nyerere alipkwenda UN na kutuwakilisha baada ya kukubaliwa na kujiunga na UN, yeye alikuwa rais wetu na hata kama angekwenda kawawa ingejulikana rais wa Tanzania ni Nyerere..Kati ya makosa makubwa aloyafanya Shamte hili ndilo kubwa kuliko yote na naweza kumlaumu Shamte kwa kusababisha maafa yote yaliyotokea (Mapinduzi) ni kutokana na ukibaraka wake. Hiki chama cha Hizbu kilipohamwa na kina Abdulrahman Babu na Salim walizungumzia vizuri matatizo ya Ukabila na race kujenga vyama vya siasa Zanzibar kiasi kwamba Watu weusi na Washiraz wakaunda chama chao ASP dhidi ya Hizbu wenye asili ya utawala wa sultan wa Oman....
Kitendo cha yeye mtu mweusi kujiunga na Hizbu akijua kuna ukabila ili kuwazidi kura Afro Shiraz kwa kuahidiwa Uwaziri mkuu ndio haya makosa tunayoyaona leo na Seif Sharrif Hamad - huu ni usaliti kwa CUF na Wazanzibar - mtanisamehe ni mtazamo wangu kwa Seif Hamad, simwamini kabisa mtu mwenye agenda binafsi...Sultan alipewa kinga ya Uingereza kwa kuomba yeye akiwa mtawala wakati wote nchi hiyo ilipokuwa imetawaliwa..Hivyo Uhuru wao hauna tofauti kabisa na ule wa Rhodesia chini ya Ian Smith maana hata Uingereza haikuwa mtawala bali Jamheed...na sijui kama unautambua Uhuru wa Rhodesia leo hii kama ndio halali na sio ule uhuru wa Mugabe.
Hivi umeshawahi ona popote pale duniani kuliko kuwa na maendeleo bila ya political stability, bila ya kuangalia the mode of production. Kwetu Nyerere alifanya kazi kubwa sana kujenga hiki kitu, lakini lawama zinakuja thereafter hapo ndipo mnaposhindwa kuwa wakweli.
Yes he was intelligent hilo halina ubishi, but his long term visions are still open to scrutiny. Hata huyo Deng Xiaoping learned a lot from Mao Zedong, lakini halikubal ukweli wa muda wake hili taifa liendelee his masters ideology had to be scrapped completely na kupunguza hegemony media propaganda.
Kwetu bado ni tatizo kwa sababu a complete approach in socialism is bound to fail na hii ni kwenye mi-nchi ambayo inamisomi kibao, hila tu kwakuwa bado atuna tabia ya kuukubali kweli kwa kupenda kutumia biased propaganda and emotional attachments ndio bado tunabisha kitu ambacho kiko in the open (Mwalimu was a failure).
Amna raisi aliye-mfuata kuwa bora zaidi yake, lakini policies zake, mawazo yake and the style of his governance produced the rest of the failures we witness today (hawa viongozi ni by-product ya mwalimu tu, either luck of patriotism aliyowafundisha au kuja kuweka watu juu pending on loyalty or just may be he wasn't as strict as we are made to believe to everyone except to his enemies and a few examples, simple).
ukijua ukweli huu utakuweka huru.......ccm ni wakolini ti this day, na wanatumia unyerereism kutawala
Naona unatoka povu. Kumuita mtu baba ambae si baba yako ni "heshima" mnayojazwa nayo vichwani kutoka Kanisani. Kumuita mtu baba ambae si baba yako si heshima bali ni kumvunjia heshima mama yako. Kama nyinyi mnajazwa huo ujinga makanisani wa kuwa kila mmoja ni baba yenu, ni huko huko kanisani na msituletee sisi heshima zisizokuwa na adabu.
Unasema Nyerere kafanya mengi mazuri, mimi nakuambia mabaya ni mengi zaidi aliyoyafanya kuliko mazuri, kama unabisha weka list, tuone yepi yatazidi na tuchambuwe kama kweli hayo unayosema kayafanya kayafanya yeye na yalikuwa hayapo na kama kweli kapita kiwango ya yaliyokuwepo kabla yake. Mimi nakuambia huwezi hata pakuanzia.
Mkuu,ukijua ukweli huu utakuweka huru.......ccm ni wakolini ti this day, na wanatumia unyerereism kutawala
Hivi umeshawahi ona popote pale duniani kuliko kuwa na maendeleo bila ya political stability, bila ya kuangalia the mode of production. Kwetu Nyerere alifanya kazi kubwa sana kujenga hiki kitu, lakini lawama zinakuja thereafter hapo ndipo mnaposhindwa kuwa wakweli.
Yes he was intelligent hilo halina ubishi, but his long term visions are still open to scrutiny. Hata huyo Deng Xiaoping learned a lot from Mao Zedong, lakini halikubal ukweli wa muda wake hili taifa liendelee his masters ideology had to be scrapped completely na kupunguza hegemony media propaganda.
Kwetu bado ni tatizo kwa sababu a complete approach in socialism is bound to fail na hii ni kwenye mi-nchi ambayo inamisomi kibao, hila tu kwakuwa bado atuna tabia ya kuukubali kweli kwa kupenda kutumia biased propaganda and emotional attachments ndio bado tunabisha kitu ambacho kiko in the open (Mwalimu was a failure).
Amna raisi aliye-mfuata kuwa bora zaidi yake, lakini policies zake, mawazo yake and the style of his governance produced the rest of the failures we witness today (hawa viongozi ni by-product ya mwalimu tu, either luck of patriotism aliyowafundisha au kuja kuweka watu juu pending on loyalty or just may be he wasn't as strict as we are made to believe to everyone except to his enemies and a few examples, simple).
Bila shaka mkuuu wangu unajua Nyerere baada ya Mapinduzi yaliyodumu siku 100 (Okello), yeye kwa kumshauri Karume aliweza kuunganisha nchi zetu, kuunganisha sio tu ASP na CCM bali hata kuwachukua viongozi wote wa Umma Party kina Abraham babu, Salim na wengine wengi jkuja bara kuwapa hifadhi na madaraka makubwa ktk serikali ya Jamhuri halafu fikri mtu kama Seif Hamad wa Hizbu na wengine pia wakaingia ktk serikali hii tena wana wadhifa mkubwa tu. Hawa wote walikuwa Wanted Zanzibar miaka ya 60s japokuwa bado Nyerere analaumiwa kwa mauaji ya wale viongozi wengine (Hanga) alowakabidhi kwa serikali ya Zanzibar ili wafikishwe mbele ya sheria kutokana na madai ya baraza la Mapinduzi wakauawa... Halaumiwi Karume wala baraza hilo bali Nyerere...Mkandara salute you!
Naona unazungumzia ukabila, kosa la shamte, lakini yet tuna mataifa mengi yana tabia za kizanzibar
swali je hawa Hizbu, ASP kwa mitazamo ile ile ya kujenga nchi yao umoja wao...tunaweza tukawapa baba wa taifa lao akawa Nyerere??
Waberoya said:Mpendwa Joka kuu...nilijua kuna mtu atajibu kama ulivyojibu
Waberoya said:Je Nyerere aliposhiriki uchaguzi wa 1958-1959/60 alikuwa/tulikuwa chini ya ya nani?