Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
- Kuweka Vijiji vya Ujamaa (1972?)(kurudisha watu nyuma kimaendeleo), angalia uchagani hamna vijiji na angalia wapo wapi kimajengo etc.
tuzungumzie hapo kwenye red hebu nieleze unafiki wa waislamu ni upi>kwanini watu munapenda kusifu kila kitu bila ya kuchunguza ukweli mambo hivi wewe uaijua historia ya kweli ya nyerere mimi simuiti baba wa taifa hapo utaniwia radhi!!!!
na ule usemi ukitaka kumaliza mtanzania kaweke habari kwenye kitabu hakuna watu wavivu wakusoma kama watanzania na ndio maana mnapelekwa kibubusa nakupa home work kasome vitabu vifuatavvyo THE DARKSIDE OF MWALIMU JULIUS NYERERE:THE PARTNERSHIP cha ABDOU JUMBE ukweli wa mambo utaujua
unafki wa waislam ni kudanganywa na JK kuwa mtapewa mahakama ya kadhi mkamchagua leo amewaruka mnashindwa kuingia barabarani kuidai kwa nguvu.tuzungumzie hapo kwenye red hebu nieleze unafiki wa waislamu ni upi>kwanini watu munapenda kusifu kila kitu bila ya kuchunguza ukweli mambo hivi wewe uaijua historia ya kweli ya nyerere mimi simuiti baba wa taifa hapo utaniwia radhi!!!!na ule usemi ukitaka kumaliza mtanzania kaweke habari kwenye kitabu hakuna watu wavivu wakusoma kama watanzania na ndio maana mnapelekwa kibubusa nakupa home work kasome vitabu vifuatavvyo THE DARKSIDE OF MWALIMU JULIUS NYERERE:THE PARTNERSHIP cha ABDOU JUMBE ukweli wa mambo utaujua
Sasa hivi watakuja hapa:topical,ff na kundi lake.
Kwa hiyo vita yako ni ya ukatoliki!! myopic!Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.
Hilo la Mwalimu kuwa HAAMBILIKI lilitokana na misimamo yake katika baadhi ya mambo ambayo hata waliokuja kuyakubali hayakutusaidia sana. Sanasana tumeibiwa kwelikweli. Angalia tulivyokubali kubinafsisha kila kitu na manufaa yake kwa MTANZANIA wa kawaida.Wakuu WildCard na Mchambuzi,
Baba wa Taifa alikuwa HAAMBILIKI. Vijiji vingi ya Singida na Dodoma unavyoongelea ni vya UJAMAA na ndivyo vimekufa. Kwenda vijiji vya ujamaa kulifanywa bila tahmini na research ya kutosha. Mwalimu aliiga kila kitu Urusi na China bila ku LOCALIZE.
Wildcard, kwenye vita umekosea ndugu yangu sikua mdogo nilikua kijana. Pale Mwalimu alichemsha.
Wasomi walikua kidogo nakubali lakini alikua na nafasi ya kuwaleta wageni watusaidie. Tatizo alikua na ujamaa wa kufikirika. Anacopy bila kufikiria mazingira halisi. Hao akina Mwapachu na Kaduma walikuwa wakitoka hapa pamekufa (yule wa GAPEX nimemsahau) walikuwa hawafungwi!, sijasema walikua wanaiba. NO Namfahamu Mwapachu ni mwadilifu sana (BAkari).
Vita vya Kagera tulijazwa propaganda. Sisi ndo tulikuwa tunataka KUIKOMBOA AFRICA wakati tulikua hatujiwezi kiuchumi. Hilo nalo ni kosa alilofanya mwalimu.
Kwa ufupi ANGEAMBILIKA tungekua mbali sana.
Ukabila na Udini ni sehemu aliyofanikiwa sana Hongera kwa hilo
Kiswahili na umoja wa kitaifa pia alifanya vyema
Elimu, sie tulisoma bure, asante Mwalimu RIP.
Alikandamiza DEMOKRASIA, pia tukubali alipenda u STALIN sana.
Mwalimu alikuwa anapenda sifa jamani hilo ni kweli.
Ji habari reeeefu halisomeki, wala sina muda wa kulisoma, kwa kifupi:
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.
Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?
Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga
"wewe ni baya lisilotuzuru, yaani jema lisilotufaa"ETI BABA WA TAIFA !!!!!!!! kuna mijitu inapenda kutukuza mtu eti wanampa heshima huko aliko hana heshima hata kidogo heshima yake iliisha siku alipo pigiwa mizinga 12 baada ya hapo hana heshima tena na ndio maana wana sema watu wakatoe heshima zao za mwisho lakini kwa upande mwingine nisiwalaumu kwasababu hata yesu mulimpa heshima kuwa yeye ni mungu kwahiyo huu ni muendelezo
Baadhi ya mambo yaliyomsaidia Mwalimu kuinganisha TANZANIA na WATANZANIA ni haya:Kwa nini Nyerere alipora sekondari za Bukoba,Mbeya na Kilimanjaro na kuwasomesha wanafunzi wa Lindi,Mtwara na kwingineko???
Kwa nini Nyerere alituunganisha na Wazenji wavivu??????????
The problem with guys is that…you do not know yourselves oryour enemies; and you are dreaming of wining the 'war' and conquer the World.Never on Earth!!!!
Sawa alipewa kanisani huo ubaba wa taifa nashangaa unang'aka nn wakati ww mamboya kanisa hayakuhusu...nendeni na nyie misikitini mumpe wa kwenu usheikh,ualhaji, uimam, umaalim (whatever u call) wa taifa. Uone kama kuna mkristoatalalamika.
Wakuu WildCard na Mchambuzi,
Wildcard, kwenye vita umekosea ndugu yangu sikua mdogo nilikua kijana. Pale Mwalimu alichemsha.
Umeishia Darasa la ngapi chalii? Mbona unaji-contradict mwenyewe hapo kwenye red panakuhusu.Wakuu WildCard na Mchambuzi,
Baba wa Taifa alikuwa HAAMBILIKI. Vijiji vingi ya Singida na Dodoma unavyoongelea ni vya UJAMAA na ndivyo vimekufa. Kwenda vijiji vya ujamaa kulifanywa bila tahmini na research ya kutosha. Mwalimu aliiga kila kitu Urusi na China bila ku LOCALIZE.
Wildcard, kwenye vita umekosea ndugu yangu sikua mdogo nilikua kijana. Pale Mwalimu alichemsha.
Wasomi walikua kidogo nakubali lakini alikua na nafasi ya kuwaleta wageni watusaidie. Tatizo alikua na ujamaa wa kufikirika. Anacopy bila kufikiria mazingira halisi. Hao akina Mwapachu na Kaduma walikuwa wakitoka hapa pamekufa (yule wa GAPEX nimemsahau) walikuwa hawafungwi!, sijasema walikua wanaiba. NO Namfahamu Mwapachu ni mwadilifu sana (BAkari).
Vita vya Kagera tulijazwa propaganda. Sisi ndo tulikuwa tunataka KUIKOMBOA AFRICA wakati tulikua hatujiwezi kiuchumi. Hilo nalo ni kosa alilofanya mwalimu.
Kwa ufupi ANGEAMBILIKA tungekua mbali sana.
Ukabila na Udini ni sehemu aliyofanikiwa sana Hongera kwa hilo
Kiswahili na umoja wa kitaifa pia alifanya vyema
Elimu, sie tulisoma bure, asante Mwalimu RIP.
Alikandamiza DEMOKRASIA, pia tukubali alipenda u STALIN sana.
Mwalimu alikuwa anapenda sifa jamani hilo ni kweli.
Hilo la Mwalimu kuwa HAAMBILIKI lilitokana na misimamo yake katika baadhi ya mambo ambayo hata waliokuja kuyakubali hayakutusaidia sana. Sanasana tumeibiwa kwelikweli. Angalia tulivyokubali kubinafsisha kila kitu na manufaa yake kwa MTANZANIA wa kawaida.
Tumewaleta wageni sasa kwenye madini, vitalu vya uwindaji, mabenki, TBL, viwanda vya nguo, simu,...., niambie nchi inanufaika kivipi. Haya, wamekuja akina MlimaniCity, Quality Mall, Watanzania ni vibarua tu huko. Yule bwana wa GAPEX alikuwa anaitwa Nyakyoma. Hakupelekwa kungine baada ya kuvurunda pale. Yupo hapa mjini anaoza taratibu.
Vita ya Kagera ilikuja kazi ya Ukombozi wa Africa imeshaisha imebaki South Africa tu.