Nipo nakuona unavyohangaika na nimekujibu juu huko lakini hujaona, nangoja uendelee nikupe darsa kuhusu nick names au Kiarabu "kun'yah", ntakujulisha Mtume Muhammad (SAW) majina aliyokuwa akiwaita wakeze (si ya nasaba) "nick names". Hata Mtume Muhammad (SAW) mwenyewe alikuwa na nick name zake alizoitwa, ukiendelea tu ntakupa darsa labda useme kuwa ulikosea au ulikuwa hujui, hapo tutaendelea vizuri. Kutokujuwa ni kujifunza na wala usione vibaya, vibaya ikiwa hujuwi na kujifunza hutaki. Na kukosea si kosa kurudia makosa ndio kosa. Sasa chaguwa, umekosea au ulikuwa hujui?
Muislam haruhusiwi kujiita Ritz au Kuongezea neno Foxy mbele ya jina la Faiza.Nipo nakuona unavyohangaika na nimekujibu juu huko lakini hujaona, nangoja uendelee nikupe darsa kuhusu nick names au Kiarabu "kun'yah", ntakujulisha Mtume Muhammad (SAW) majina aliyokuwa akiwaita wakeze (si ya nasaba) "nick names". Hata Mtume Muhammad (SAW) mwenyewe alikuwa na nick name zake alizoitwa, ukiendelea tu ntakupa darsa labda useme kuwa ulikosea au ulikuwa hujui, hapo tutaendelea vizuri. Kutokujuwa ni kujifunza na wala usione vibaya, vibaya ikiwa hujuwi na kujifunza hutaki. Na kukosea si kosa kurudia makosa ndio kosa. Sasa chaguwa, umekosea au ulikuwa hujui?
Hawaruhusiwi kuchat na wanaume kwenye forums kama hizi, hapa mimi na wewe tupo chumba au baraza moja na your big lips are turning me on, funika uso wako la sivyo unamuudhi Allah. Sizugumzii Iran, nazungumzia uislam.Hizi nakupa samples tu, unataka kulinganisha na nchi ipi? unayomaanisha wewe ni ya Kiislaam? sema ntakupa data zake.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD="bgcolor: #0000FF"][SIZE=-1]TANZANIA[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]TZ - 42,746,620 population (2011) - Country Area: 945,087 sq. km.[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]Capital City: Dar es Salaam, - population 2,975,986 (2008)[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]676,000 Internet users as of Jun/10, 1.6% of the population, per ITU.[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]319,440 Facebook users on June 30/11, 0.7% penetration rate.[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD="bgcolor: #0000FF"][SIZE=-1][/SIZE] [SIZE=-1]SAUDI ARABIA[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]SA - 26,131,703 population (2011) - Country size: 2,149,690 sq km[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]Capital City: Riyadh - population 4,878,473 (2010)[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]11,400,000 users as of Dec/10, 43.6% penetration, per CITC[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]4,034,740 Facebook users on June 30/11, 15.4% penetration[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD="bgcolor: #0000FF"][SIZE=-1]IRAN (Islamic Republic of)[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]IR - 77,891,220 population (2011) - Country size: 1,648,195 sq km[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]Capital City: Tehran - population 8,429,807 (2010)[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]36,500,000 users as of June/11, 46.9% penetration, per IWS.[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]Facebook users data not available.[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nikupe siri? watumiaji wengi wa internet Middle East ni wanawake na si wanaume Usimwambie mtu, utachekwa.
Hiyo ndo siri? Ni nani unayetaka kumdanganya? Nilishakufahamisha kabla kwamba mimi sio rika lako, kwa hiyo acha utani na tafakari. Hizo takwimu unazoleta hapa hazijibu hoja yeyote. Hebu nipe forum moja ya nchi hizo ambako wanawake wanaruhusiwa kujibizana na wanaume kama itokeavyo hapa. Uongo ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu, nadhani hilo unalijua!Hizi nakupa samples tu, unataka kulinganisha na nchi ipi? unayomaanisha wewe ni ya Kiislaam? sema ntakupa data zake.
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD="bgcolor: #0000FF"][SIZE=-1]TANZANIA[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]TZ - 42,746,620 population (2011) - Country Area: 945,087 sq. km.[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]Capital City: Dar es Salaam, - population 2,975,986 (2008)[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]676,000 Internet users as of Jun/10, 1.6% of the population, per ITU.[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"][SIZE=-1]319,440 Facebook users on June 30/11, 0.7% penetration rate.[/SIZE][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD="bgcolor: #0000FF"][SIZE=-1][/SIZE] [SIZE=-1]SAUDI ARABIA[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]SA - 26,131,703 population (2011) - Country size: 2,149,690 sq km[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]Capital City: Riyadh - population 4,878,473 (2010)[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]11,400,000 users as of Dec/10, 43.6% penetration, per CITC[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]4,034,740 Facebook users on June 30/11, 15.4% penetration[/SIZE][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD="bgcolor: #0000FF"][SIZE=-1]IRAN (Islamic Republic of)[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]IR - 77,891,220 population (2011) - Country size: 1,648,195 sq km[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]Capital City: Tehran - population 8,429,807 (2010)[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]36,500,000 users as of June/11, 46.9% penetration, per IWS.[/SIZE][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #FFFFCC"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #CCCCCC"] [SIZE=-1]Facebook users data not available.[/SIZE][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Nikupe siri? watumiaji wengi wa internet Middle East ni wanawake na si wanaume Usimwambie mtu, utachekwa.
By FaizaFoxy
Mag3 na wenzako hamuwezi kufananisha mambo wanayoandika na kutumia nchi zingine ndio utufanye tukinahi kuwa hiyo ndio "norm".
Mimi nnasema hivi, Waislaam hawana vyeo vya u "baba", baba ni aliyekuzaa tu, hivyo vyeo vipo kanisani, hata wale wasiruhusiwa kuzaa na kanisa wanaitwa ma "baba", baba mtakatifu, baba askofu, baba mchungaji na sasa "baba" wa Taifa, na hao uliowataja kuna uwezekano ni washirika wa kuyaendeleza wasiyoyajuwa. Waislaam wengi hatukubaliani na hiki cheo cha u baba ambacho asili yake ni kanisani. Kwanini mlazimishe? sisi tunasema Nyerere ni Rais wa kwanza wa JMT. hakuna cha zaidi.
Vyeo vyenu vya kanisani viishie hukohuko kanisani, msitujaze ujinga wa kuwa na baba ambao hata kuzaa hawaruhusiwi, hayo ni yenu nyinyi na mnaelewa kwanini mnawaita ma baba hao ambao si baba zenu.
Hiyo ni kwel kabisa, walezi wngu walihamia huku baada ya kutokwa na wazazi wangu wote wawili, na nazungumzia historia ya marekani ambayo ni lazima kuisoma mpaka chuo hata kama unasomea udaktari, utaisoma kwenye GenEd, ni lazima angalau credit hrs 6!Tena wewe usingejisifu kabisa kuwa umesoma Merekani. (ndio maana ati sasa nimeelewa).
United States ranks below average internationally; Na wenyewe wana admit:
Student achievement is not improving fast enough. Across our nation--in our cities, suburbs, and rural communities alike--far too many students are still not meeting the standards that will prepare them for the challenges of today and tomorrow. What the top 20 percent of our students typically learn in math in the 8th grade is learned by most students in Japan in the 7th grade. And while today America's 4th graders read as well as ever on average, 40 percent cannot read as well as they should to hold a solid job in tomorrow's economy.
soma zaidi: ED.gov
Kwanza pole sana kwa sad story yako. Pili, sina tatizo na US wakiwa na Father au Fathers. Hilo sipo kabisa huko.
Mimi nipo na imani yangu ya Kiislaam, siruhusiwi kumuita mtu yeyote baba zaidi ya aliyenizaa. Na pia hapa Tanzania Waislaam wenye msimamo kama wangu ni wengi sana, kwanini basi hawa wasio Waislaam walazimishe tumuite Nyerere "baba" wa Taifa wakati imani yetu hairuhusu? na hicho ni cheo kinachpatikana katika Ukristo na Kikatoliki ndio kabisa, nadhani nimeainisha mara nyingi na Ritz hapo juu kaweka list kamili ya u "baba".
Hili Waislaam hatukubaliani nalo, labda wale wasiojuwa maana.
Hebu kawaambie jamaa wa Taleban huko Afghanistan hilo usemalo labda watakusikiliza, kwa sababu wewe inaonekana unajua maswala ya kidini kuliko wao!Hakuna pahala katika Uislaam panapokataza kufunika uso. Tunatakiwa tujifunike nywele na tuvae nguo za stara, zisiwe za kubana mpaka kuonesha maungo, zistiri mpaka kwenye vifundo vya mkono (panapoishia viganja) na mpaka kwenye vifundo vya miguu (ankle). Hijab (stara) imeamrishwa kwa mote, Mwanamme na Mwanamke. Hakuna aliye mbora kati yetu ila yule amchae Mwenyeezi Mungu.
Taleban hawafuati mila na utamaduni wa Afghanistan (kwanza wao wamepikwa toka kambi za wakimbizi Pakistan, kwenye shule za Jamiat Ulema-e-Islam chini ya Mullah Omar) bali wanatafsiri Uislam kama waujuavyo wao. Sasa wewe FaizaFoxy hujui kama kuongopa ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu?Afghanistan wana mila na utamaduni wao na huwezi kuhusisha mila na tamaduni za watu na Uislaam. Uislaam haukatazi mtu kujifunika uso, lakini mwenyewe akipenda kufanya ziada na mradi havunji sharia basi yote ni kheri. Ubaya ikiwa sharia inasema jistiri wewe uiondoe hiyo stara.
Naona hapa unazidi kuteleza. Haya, hebu nijibu hoja yangu niliyokuomba unipe kiungo cha forum yeyote ya katika nchi za kiislamu inayoruhusu malumbano kati ya wanaume na wanawake kama uonavyo hapa Tanzania, (najua na hii nayo utashindwa lakini ninajaribu).Sasa ikiwa mtu anatafsiri Uislaam kwa matakwa yake na kama havunji sharia. Kuna tatizo lipi? Kama wangekuwa wanawaambia msivae nguo, hapo kungekuwa na tatizo. Kwani wa Afghanistan sharia ipi wanayoivunja? Au wewe hujaona hata Tanzani wanaopiga "Ninja"? Unanshangaza.
Naona hapa unazidi kuteleza. Haya, hebu nijibu hoja yangu niliyokuomba unipe kiungo cha forum yeyote ya katika nchi za kiislamu inayoruhusu malumbano kati ya wanaume na wanawake kama uonavyo hapa Tanzania, (najua na hii nayo utashindwa lakini ninajaribu).
Angalizo: mimi sipo katika madhehebu ya kikiristo!
Wewe kibwengu na wewe umekurupukia wapi? Soma kwanza mtiririko wa mjadala kabla hujaanza kutapika hayo mataputapu uliyobwia huko vichochoroni!Shindana kwa hoja na acha hayo mambo ya jinsia. Hapa unaonesha dalili ya kushindwa; ndiyo maana unaanza kwenda kwenye sexism.
Jibu hoja yangu. Nimekuomba ulete kiungo cha mtandao angalau mmoja tu. Mbona unazunguka mbuyu?Nadhani umejipatia Ilmu ya kutosha lakini unajifanya tu kuwa huioni. Kwa kukuongezea tu, usichanganye Mila na Desturi za mataifa na Uislaam. Kwa kuwa fulani anamuita baba mume wa mama yake ambae si baba'ke aliomzaa ki mila basi wewe ndio ukaona huo ndio Uislaam au mafundisho ya Kiislaam. Kwa kukujuza tu, hata "shikamoo" hakuna katika Uislaam lakini tunapeana. Na hata imefikia mtu anaekuzidi umri anashindwa kumpa Asalaam Aleykum mtoto au aliyechini ki umri na yeye kwa kuwa tu shikamoo imezoeleka kutoka kwa mdogo kwenda kwa mkubwa.
Maana hata sijui sasa huko wapi na hizi hadithi zako wewe ungesema in simple tone kwamba ukubali kama yeye baba muasisisi umkubali (without religious points) na ungeachana na hiyo tafsiri ya baba halafu ungetuachie wengine tu-deal na the rest of the pumba ambazo mchambuzi kaandika maana anazungumza mambol ya IMF na Arusha declaration na mambo ya good dialogue huko ilikuwa ndio hatujibu na maana halisi za siasa lakini wewe Faiza Fox ni pumba tupu ukiamua nimekuweka kwenye mtu wa tatu sasa akitoka rev masa, wewe then superstar wetu.Sasa ikiwa mtu anatafsiri Uislaam kwa matakwa yake na kama havunji sharia. Kuna tatizo lipi? Kama wangekuwa wanawaambia msivae nguo, hapo kungekuwa na tatizo. Kwani wa Afghanistan sharia ipi wanayoivunja? Au wewe hujaona hata Tanzania wanaopiga "Ninja"? Unanshangaza.
Panapokupa shida ni pale unapotaka kufanya kitendo cha mmoja kuwa ndiyo mafundisho ya Uislaam.
Jee hujawahi kuwaona Waislaam wanaokunywa pombe? Kama jibu ni umewahi, Jee, hayo ndio mafundisho ya Uislaam?
Nadhani hapo utakuwa umenielewa.
Nadhani umejipatia Ilmu ya kutosha lakini unajifanya tu kuwa huioni. Kwa kukuongezea tu, usichanganye Mila na Desturi za mataifa na Uislaam. Kwa kuwa fulani anamuita baba mume wa mama yake ambae si baba'ke aliomzaa ki mila basi wewe ndio ukaona huo ndio Uislaam au mafundisho ya Kiislaam. Kwa kukujuza tu, hata "shikamoo" hakuna katika Uislaam lakini tunapeana. Na hata imefikia mtu anaekuzidi umri anashindwa kumpa Asalaam Aleykum mtoto au aliyechini ki umri na yeye kwa kuwa tu shikamoo imezoeleka kutoka kwa mdogo kwenda kwa mkubwa.