Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!


Inaonekana una agenda nyingine ndugu yangu Gamba La Nyoka kwani nimekueleza kwamba hili suala ni la kisheria ndiyo, halitokani na mapenzi tu ya mtu mmoja mmoja, na ni bunge ndilo linahusika na suala hili; Sasa kwa sababu mimi sio mbunge, nalitafuta kwenye website kwa kupitia HANSARD zote, kwani lilipitishwa miaka mingi sana; kama una muda, tafuta pia na wewe kwa muda wako mkuu, au kama unajuana na wabunge wowote, itakuwa rahisi zaidi; vinginevyo, nasisitiza mawili (1) kuwa na subira (2) tumia common sense pia kutambua kwamba heshima ya baba wa taifa lazima ipitishwe kisheria ili iwe ya kudumu;

Lakini pia nimeweka post yangu hapo awali for you, FF na wengine, mtueleze, wapi mnalenga na hoja zenu kukataa baba wa taifa na Nyerere? naona wewe umekwepa hilo. Nia yangu ilikuwa ni kusaidia kuweka hali ya hewa sawa na kuweka mambo kwenye mstari ili sote tujue tunajadili nini, je suala la baba wa taifa katika mazingira ya imani? suala la baba wa taifa na sheria ya bunge? suala la baadhi yenu kuwa na baba wa taifa mnaomtambua, ambae yupo, na sio Nyerere? Suala la kwamba harakati za ukombozi zinaendelea bado, zilizopita zilikuwa batili? Naomba kwa muda wako unisaidie kuelezea unalenga nini kupingana na hoja yangu ya msingi, kwani hivyo ndivyo tutajenga badala ya kubomoa.
 
Wewe mwana umechanganyikiwa. Huna lolote la maana zaidi ya kujifanya mjuwaji. Shauri yako!
 

Naelewa hoja yako kimsingi lakini ukweli ndio huo, mtu hawezi pewa heshima ya baba wa taifa barabarani iwapo nia ni kuiweka iwe ya kudumu na kuwa sehemu ya historia ya taifa; naendelea kuchambua HANSARD za bunge kwenye website, ni suala lilipitishwa muda sana; ntaliweka hapa mara tu nitakapofanikisha zoezi hili;
 
Mchambuzi, hoja ulizoleta zimesimama kwa mtu ambaye ni makini na mfatiliaji wa mambo atakubaliana na ww. Lakini kukubali au kubisha ni haki ya mtu hasa anapoona kuwa jambo fulani katka akili yake hakubaliani nalo. Jambo linalotakiwa hapa ni kuwa ukibisha basi ulete hoja kwamba nalikataa shauri/wazo hili kwa sababu moja, mbili.......n.k.

Nimwombe Feiza F aisome vzr hii thread hata kama ni ndefu ili aielewe.
 
Kwavile mimi ndio mtoa hoja, nimeonelea nisafishe hali ya hewa katika hilo kwani linapeleka mjadala pasipo mahala pake.

Naomba upitie post yangu kwenye thread hii. Page 10. Mi natumia simu lakini. Nimejadili hisia zangu juu ya asili ya neno Baba
 

mchambuzi, wakati nikiendelea kukusubiri utuletee hiyo sheria ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania iliyomtagaza nyerere kwamba ni "baba" Wa Taifa, ningekuomba umuombe mod aifreeze hii mada mpaka utakapopata backup ya kile unachokisema, otherwise no data/proof no right to speak.

Wewe unanitaka nitumie common sense peke yake kufikia conclusion, hii ndiyo tofauti yangu mimi na wewe, mimi natumia vyote viwili common sense pamoja na data kufikia conclusion. Labda utaniprove mimi wrong, lakini so far kwa mujibu wa utafiti wangu hakuna sheria iliyotungwa na bunge na kumdegnate mwalimu kuwa ni "baba" wa taifa.

Tofauti na mkataba wa muungano unaotamka wazi kwamba raisi wa kwanza wa muungano atakuwa ni julius k nyerere, lakini hakuna sheria nyingine inayosema kwamba mwalimu ni "baba" wa taifa.

Prove me wrong by a concrete data, otherwise no research no right to speak
 
Umejitahidi mchambuzi.. thank you! Opinion Divided For me and My family & watoto wangu & kizazi changu we will never ever call Nyerere BABA WA TAIFA ... tafuteni jina jingine lakini sio baba!


"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Haya FaizaFoxy, nime-google kama ulivyonishauri na nimepata maana hizi (baadhi ni ashakum!):

Urban Dictionary thesaurus for foxy:
sexy hot
beautiful fox cute fine attractive gorgeous pretty awesome sly hottie babe cool amazing cunning hott bootylicious funny stunning more...

One hot spunky piece of ass, who is just perfect.....
Ohh my god she is foxy

Au labda unataka nitumie google ya kiarabu?
 
Nami nakusaidia bila matumaini. Kuna mtu aliwahi kuniambia hata Azimio la Arusha na uzuri wake wote halikuwahi kupita Bungeni. Ndio maana lilifutwa kiulaini kule Zanzibar! Sasa hivi Maalim Seif ni Makamu wa Kwanza wa Rais kule Zanzibar. Katiba ya JMT iko kimya.
 

nikisoma comments zako yaonekana umeelimika!!tatizo nadhani imani yako imetafuna elimu yako kiasi sasa ni kama una matatizo fulani kichwani ambayo kwa hali ya kawaida ni ngumu kuyatambua!!!!ila kila heri Mwenyezi Mungu mja wa yote atakujalia pengine utajitambua!!!
 
Huyu FF ni mtata sana,ila jamani kwa mtazamo wangu naona wazi wazi jinsi nguvu za

shetani zinavyojipenyeza miongoni mwetu kupitia kwa watu kama akina ff,hawa wanaamini kuweka

vita na mtu yeyote ambaye siyo wa kwao,sasa hili la baba wa taifa wanazidi lakini pia mjue wanatawaliwa na

mapepo hivyo sisi wacha MUNGU tuzidi kuchapa NENO kwani huu ni mwisho wao na wamebaki wanatapatapa tuu.
 
Mimi nimeleta sababu zangu za kulikataa kwenye posts tofauti humu, jee umezisoma zote? na zipi ambazo hujazifahamu kwa nini nakataa na nnalipinga hili la ubaba?
Nimekuuliza pia kuhusu Mama Maria Nyerre, Mama Salma Kikwete, Uislaam unaruhusu haya?
 

FF acha kuwa mwongo, mfitini, mzandiki, mgombanishi, mharibifu. Umeshaambiwa Chinese ni Wakomonisti lakini has father of nation , baba wa taifa wewe unang'ang'ania uwongo. Sasa soma hapa kwenye mtandao: baba wa taifa wa Pakstani: Mohammad Ali Jinnah December 25, 1876 – September 11, 1948) was a 20th century lawyer, politician, statesman and the founder of Pakistan. He is popularly and officially known in Pakistan as Quaid-e-Azam ("Great Leader") and Baba-e-Qaum ("Father of the Nation"). Google hapa: Muhammad Ali Jinnah | Quaid-e-Azam (Father Of Nation) @ Pakistan Herald. Halafu google hapa ambapo umechakachua dakika chache zilizopita. Paliandikwa father of Nation saa moja iliyopita ninyi wafitini wa Nyerere mmebadilisha muda huu na kuweka pater of Nation. Google wikipedia.org
From Wikipedia, the free encyclopedia
For other uses, see Jinnah (disambiguation).
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, colspan: 2, align: center"]Father of the Nation
Muhammad Ali Jinnah
محمد علی جناح[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Governor-General of Pakistan[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
15 August 1947 – 11 September 1948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Monarch[/TH]
[TD]George VI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Prime Minister[/TH]
[TD]Liaquat Ali Khan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Preceded by[/TH]
[TD]The Earl Mountbatten of Burma (as Viceroy of India)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Succeeded by[/TH]
[TD]Khawaja Nazimuddin[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Speaker of the National Assembly of Pakistan[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]In office
11 August 1947 – 11 September 1948[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Preceded by[/TH]
[TD]Position established[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Succeeded by[/TH]
[TD]Maulvi Tamizuddin Khan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: lavender, colspan: 2, align: center"]Personal details[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Born[/TH]
[TD]25 December 1876
Karachi, British India[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Died[/TH]
[TD]11 September 1948 (aged 71)
Karachi, Pakistan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Political party[/TH]
[TD]All-India Muslim League (1913–1947)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Other political
affiliations[/TH]
[TD]Indian National Congress (1906–1920)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Spouse(s)[/TH]
[TD]Emibai Jinnah
Maryam Jinnah[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Children[/TH]
[TD]Dina Wadia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Alma mater[/TH]
[TD]Inns of Court[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Profession[/TH]
[TD]Lawyer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Religion[/TH]
[TD]Islam[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP][SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Muhammad Ali Jinnah (Urdu: محمد علی جناح, Audio (help·info); December 25, 1876 – September 11, 1948) was an absoloute ledge! Muslim lawyer, politician, statesman And the founder of Pakistan. He is popularly and officially known in Pakistan as Quaid-e-Azam (Urdu: قائد اعظم - "Ali G") and Baba-e-Qaum (بابائے قوم) ("Pater of the Nation"). Hapo kwenye bracket ndiko mlikobadilisha lakini kwenye picha yake pamebaki kuandikwa father of Nation. Nyerere ni baba wa Taifa la Tanzania. Hata Kikwete ameanza kumwita hivyo pamoja na ungangari wake. Rejea hotaba yake ya Idii iliyopita.
 

those are my views!
 

Hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba Bunge liliridhia Nyerere kuitwa BABA WA TAIFA, na ninaendelea kutafuta taarifa hizo niziweke humu. Suala hilo lilitamkwa bungeni between 2003 au 2005;

Kuhusu hoja kwamba MOD to freeze the discussion, nadhani unge shauriana nae wewe moja kwa moja kuafikiana au kutoafikiana juu ya hilo;

Vinginevyo, binafsi naona kuna mambo ya msingi mengi sana ambayo tunaweza kuyajadili, including wewe kuendelea kukwepa thread yangu that i addressed kwako na kwa faiza na wengine; angalau tuanze mjadala kwa kusema kwamba - kwavile mchambuzi hajaweka taarifa rasmi za bunge kuridhia Baba wa Taifa kuwa Nyerere, basi mimi GAMBA LA NYOKA simtambui Nyerere kama baba wa taifa; Naomba tamko lako rasmi tadhafali ili nijue unasimama wapi, kama ni suala la bunge, imani ya dini na neno baba, au mengine ambayo nimeshayaeleza ili wakati natafuta taarifa za bunge, mimi na wewe tuendeleze mjadala kwa hoja, na kama hauwezi endelea kutokana na suala la bunge, basi tamka hivyo na mimi na wewe tuishie hapo, na niendelee na wengine, unless MOD afunge thread kama unavyomshauri. Ni hayo tu kwa sasa;
 
Nimekuuliza pia kuhusu Mama Maria Nyerre, Mama Salma Kikwete, Uislaam unaruhusu haya?

Asante mkuu ila nikuambie lazima atakuwa na some sort of jibu..,kwasababu tuu anawashwa vidole
kweli elimu inawezekana anayo ila dini yake haimruhusu kufikiria tofauti.
 
Sioni katika maana zote hizo, tatizo lako liko wapi? Mimi ndio FF ukimsikia mwengine huyo ni "fake", Sikisii.
Pia nadhani umenisoma, ingawa una ubongo mgumu kama jiwe la Chuma cha Nkola. Kujiita Foxy ni kukumbatia uzungu (ukiristo), kwa maana nyingine. Kwa mantiki hiyo basi, FaizaFoxy unaudhalilisha uislamu bila kujijua kwa sababu ya kujifanya mjuaji wa kupindukia. Tafakari!
 

Sijawahi kuona mtu mtu ambaye akili zake zimekaa tenge kama wewe, what a flawed ideas. Unawezaje kusema baba linatumika kwa Wakatoliki wakati huohuo unaandika na unajua linatumiwa katika familia. Sasa Nyerere ni baba wa Taifa la Tanzania kama alivyo yule wa Pakstani, China na wengine aliowataja Mchambuzi. Rejea post yangu na baba wa taifa wa Pakstani na nenda ka-google father of nation Pakistani.
 
Asante mkuu ila nikuambie lazima atakuwa na some sort of jibu..,kwasababu tuu anawashwa vidole
kweli elimu inawezekana anayo ila dini yake haimruhusu kufikiria tofauti.
Mimi nadhani ni Muhimu sana kuwa na watu kama FaizaFoxy humu JF. Ubishi wake na usimamizi wa hoja zake ni mfano wa kuigwa. Akisimamia hoja hata kama kakosea habadiliki. Anatoweka tu kiaina basi.
 

Acha uongo baba linatumika kwenye familia, baba wa taifa kama pakstani na China, na pia kwa wakatoliki. Kama baba linatumika kwenye famillia kwa nini wakatoliki wanauhuru wa kulikopa na kulitumia. Hata neno president originally ni la klatini lakini linatumika nchi nyingi kuonyesha kiongozi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…