Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Ukifuatilia Hotuba nyingi wakati akiwa hai mambo ambayo Nyerere aliyaamini kuwa ndio msingi wa maendeleo yana shabihiana sana na hotuba za Obama, Hotuba za Obama kila mara kwa Wamarekani zinakuwa na mashiko kwa sababu Obama anaamini kushirikishwa kwa kila mwananchi wa marekani katika ujezi wa nchi, na kwamba ndio njia pekee ya kujinusuru kiuchumi, na sio kutegemea wenye nazo wachache: Ndio maana nyerere aliweka mikakati ya vijiji vya ujamaa mpaka leo bado asilimia 90 ya ardhi ipo kwa wazawa: elimu bure, kutaifisha viwanda, kujenga vyuo na mambo mengi sana. Ila kwa speed ya hawa viongozi wanapeleka nchi pasipo paswa!
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
Sent from my BlackBerry using JamiiForums