LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,325
- 1,097
- Thread starter
-
- #21
mkuu (speech) video za mwalimu unazipata wapi nimejaribu kutafuta lakini u tube unapata chache sana naomba unipe source please.
Watizame wapi! Macho yamewatoka kuuza nchi na 10%, ni majitu yasiyo patriotic na hii nchi wakati wake na watoto zao wanawapeleka nje kusoma na kutibiwa! naona mpaka wataanza kutuuza sisi wananchi sasa!hivi viongozi wetu wanazitama hizi,au basii tu makumbusho kama kumbukumbu
Huyu mzee I will always respect him. He was so honest..RIP baba wa taifa!
Hivi ile sheria ya viboko kwa wala rushwa bado ipo??? Nimeipenda ile ya kwenda kumwonyesha mke wake.....:laugh::laugh::laugh:
Alifanya makosa kuondoka bila kubadili katiba na kupunguza madaraka ya Rais.
Angelikuwa kalibadili hilo, nafikiri leo hii kuna mabaya mengi yangelikuwa hayatokei.
Maadamu alikuwa binadamu, ninamsamehe kwani mazuri mengi alifanya.
Mie hapa natumia Laptop, kama si huyo Mzee, ningelikuwa napalilia tumbaku na BANGI.
Nimejaribu kuangalia hizi video, mara nyingi unamuona Mwl. akishikashika pua yake. Any insight?
Sio nabii tu ni mungu haswa kwa watanganyika. Wengine eti wanasema kafanya mengi mazuri, yapi hayo? Mbona hatuyaoni zaidi ya kuwakandamiza waislam?
Sasa Happuch je kama Mwanamama ndio offender hivi itakuwaje naona tutatafutana hapo! inabidi achapwe mikwaju na akaonyeshe mumewe hahahahaha!
LoyalTZ...
Uzoefu unaonyesha kuwa wengi wala rushwa ni wanaume, ndo maana mwl akapelekea kusema hiyo sentensi ya kwenda kumuonyesha mke wake.....🙂
Aliyoyasema yote yanatutokea sasa hivi! RIP Mwalimu.