Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Pasaka njema wapendwa ila nitoe angalizo kwa hiki kinachoanza kutengenezwa ambacho kwa upande wangu nachukulia kama hatua za awali za kutaka MAGUFULI Aongezewe muda baada ya 2025 ( kama akifanikiwa kupenya 2020). Tunao marais katika historian ya Tanzania ambao walifanya mambo makubwa tena ya kujitoa muhanga lakini hakukuwa na namna yoyote ya majaribio ya kutaka waongezewe muda mmojawapo ni Nyerere.
Chama changu tuheshimu katiba, ni hayo tu
Chama changu tuheshimu katiba, ni hayo tu