Inspector66
Member
- Dec 25, 2017
- 19
- 8
Amani iwe nanyi, kuna upotoshaji kwamba mwalimu alifanya makosa na hakutuanda kuwa taifa.
Kauli km hizi na nyingine nyingi za kumlaumu ni za kipuuzi kwani mwalimu alituandalia mipango ya kujitegemea, utamaduni mzuri, mpaka azimio LA arusha.
Waliokuja kutuhujumu ni ccm chini ya mkapa, hawa ndo waliokaribisha wezi wanaotunyonya mpaka Leo hii. Ccm wamekuwa vibaraka wa wazungu na kutujaza umasikini wa kutupa hadi sasa.
Adui mkubwa nchi hii sio chadema wala mafisadi ila ni ccm. Tukitaka kuondosha umasikini Tanzania ni vema tukaanza na kuwaondoa ccm wakoloni weusi. Wote ndani ya chama hiki wamejenga mfumo wa kulinda wezi wakubwa.
Mungu ibariki Africa