Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake.
Ni miaka 14 sasa tangu ulipotutoka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Daima tunakukumbuka kutokana na hekima na busara zako pamoja na kudumisha Umoja, Amani na Mshikamano kati yetu Watanzania
yani? kama kuna kitu sitakaa nikisamehe ni pale nitagundua mzee alikufa si kwa mpango wa mungu. yani kama ni kamari. mzee ndiyo karata pekee tulokuwa nayo mkononi kama watanzania, mungu amlaze pema peponi baba wa taifa langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.