Nyerere anaongelea dhana ya ubaguzi ITV muda huu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,898
43,807
Kwenye kipengele cha wosia Wa baba Wa taifa Nyerere ameongelea swala la ubaguzi, anasema dhambi ya ubaguzi ukiifanya haikuachi hivi hivi. Mfano ukibagua wenzako kwa ukanda na kusema sisi Wa kaskazini wao si Wa kaskazini, haikuachi bali utaendela na kusema wao wa kanda ya ziwa sisi Wa.......gga.., wao wa wameru na sisi ni wamachame au Wa uru, wale akina Muro sisi akina maro.., dhambi hiyo itaendelea hadi utambagua mama yako aliyekuzaa. Tuwe makini sana wale tunaojiita wenye jiji.
 
Back
Top Bottom