Nyerere alimkosea nini Mungu?

Umekosea sana kumpa "sellout" Mandela (aliyetumika kisiasa na makaburu)heshima ya juu kuliko Nyerere,next time fanya utafiti zaidi kabla ya kuja na stori za vijiweni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna Raisi aliyejitenga na ushirikina? Mwenyeheri Mshirikina? Inawezekanaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kumaliza kusoma hili ulilolileta,.umenikumbusha Munga Tehnani(rip)sijui alikuwa na upeo wa namna gani kwenye uandishi wa makala..hakika ulikuwa ukisoma gazeti jitambue au mshauri wako hukosi kitu kipya,.nadhani hata kwenye "nyerere alikuwa mchawi"😅palikuwa na jambo zito...hahah wapumzike kwa amani tuu..
 
Nikikuita mjinga nitakupa hadhi, wewe ni mpumbavu hasa, Mandela aliwapa wazungu sh ngapi ili wampaishe?
Na wazungu walipata faida gani kumpaisha Mandela?
Pathetic zero brain!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu gani muhimu Mandela amefanya cha muhimu kwamba ni Rais Bora kuliko wote Africa. Tuache uwongo huwezi kumsahau wakina Patrice Lumumba, Nkwame Nkurumah, Nyerere , Haile selasie . Mandela alikuwa kibaraka wa Wazungu tuu. Media zilimpaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere mdogo Sana kwa hawa majembe,nkwame nkurumah,jomo Kenyatta,nandi azikiwe,na Patrick lumumba

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Si kweli mkuu, Kenyatta na hao kina Nkrumah hawamfikii Nyerere ,Lumumba ana CV ya kuuawa kikatili ndo ulimnganishe na Nyerere?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mleta mada tutake radhi hata siku moja mandela hawezi kuwa juu ya nyerere tofauti na kufungwa miaka 27 jela hakuna cha maana alichoifanya africa huyo mandela wako
 
Wewe mleta mada tutake radhi hata siku moja mandela hawezi kuwa juu ya nyerere tofauti na kufungwa miaka 27 jela hakuna cha maana alichoifanya africa huyo mandela wako
Nyie mnachekesha kweli? Hakuna la maana alilofanya Mandela Africa?
Kukaa jela miaka 27 unaona ni jambo la kawaida?
Mandela alipoteza mke, watoto na ndugu akiwa jela, aligoma ofa zote za makaburu akachagua kufia jela ili South Africa iwe huru, halafu leo useme hajafanya kitu?
Wewe ukifungwa miezi 6 utaomba pooo... Halafu leo umdharau Mandela?
Unachekesha kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli mkuu, Kenyatta na hao kina Nkrumah hawamfikii Nyerere ,Lumumba ana CV ya kuuawa kikatili ndo ulimnganishe na Nyerere?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unamjua lumumba?nyerere alikuwa kibaraka wa waingereza .

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Nikikuita mjinga nitakupa hadhi, wewe ni mpumbavu hasa, Mandela aliwapa wazungu sh ngapi ili wampaishe?
Na wazungu walipata faida gani kumpaisha Mandela?
Pathetic zero brain!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mandela is greatly overrated ..thats the true FACT

Mandela alipaishwa baada ya kuwasamehe wazungu baada ya yeye kuwa Rais lakini ukiangalia hadi leo bado black south Africans wengi bado hawana uchumi mzuri...

Kwanza Mandela utamfananisha hata na Kwame Nkurumah..whats so special bout Mandela na ana contribution gani katika Afrika hadi aitwe prince of Africa ... He is over hyped by western countries PERIOD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo ni contribution gani katika bara la Africa ???....

Mandela ana hata philosophy yoyote ambayo anawezwa kukumbukwa nayo au kuonekana prince of peace ndio mchango wake...

Achana na media hype.. Mandela hakai seat moja na Nyerere wala Kwame Nkurumah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…