Guerreiro
JF-Expert Member
- Dec 22, 2018
- 736
- 1,135
Basi utakuwa katoto bado.
Pale kati kwenu
Pale kati kwenu
😂😂😂dahh mna vituko aIseeAnataka hii kitu![emoji116][emoji1][emoji1][emoji1] View attachment 977152
Katoto stress zinakusumbua bado mdogo hivyo?Wanaume acheni nyenyee humu baadhi yenu ni nyenyeeee acheni unyenyeee maana hata wadada wengine hawavumilii unyenyeee.
So anzeni mwaka na amani msipendee unyenyeee.