Vijijini Lawama
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 298
- 73
Nyehunge Sengerema mkoani Mwanza wametia fora kwa kumchagua mwenyekiti wa kijiji kwa kusimama mstari nyuma ya mgombea ili kuogopa kura zao kuchakachuliwa, Walipoambiwa na msimamizi wa uchaguzi kutuumia utaratibu wa ballot waligoma na kumwambia hawako tayari kuona kura zao zinaibiwa na kama hataki utaratibu wanaotaka wenyewe basi hawako tayari kupiga kura. Alishinda mgombea wa CDM.
Naona haina shida hii. Kama kwa babu wa Loliondo watu walipanga foleni na wote wakapiga kikombe
well i don't support that outdated KANU way of voting since has many disadvantages esp. if a party that run the Govt wants to crack down on those who voted against it's candicates
wanasimamaje nyuma ya mgombea? Na wanafanya nini wakishasimama hapo?
Kwani mkeo hana vionjo vyake! Mbona Dr. Slaa alikuwa CDM mkewe Rose alikuwa CCM! Demkrasia ni kila mtu kuwa huru kuchangua kiongozi ampendaye si kuchaguliwa na mume au mke!Hii inaweza kusababisha maafa! Huchelewi kuona mke wako yupo mstari mwengine! Lazima upandishe presha!!
mfano wewe ndiye mgombea....ssi wapiga kura hatupig kura na kuweka kwenye kisanduku bali wewe mgombea unasimama mbele na wale wote wanaokupenda wanasimama nyuma yako..halafu inahesabiwa idadi ya wale waliosimama kwako wakiwa wengi kuzidi yule mwingine basi wewe mshindi....umeeelewa