NYEGINA HIGH SCHOOL-NAFASI ZA FORM FIVE 2018.

NYEGINA HIGH SCHOOL-NAFASI ZA FORM FIVE 2018.

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
819
Reaction score
908
Ni shule inayomilikiwa na Jimbo katoliki Musoma,IPO km 16 kutoma mjini musoma,tunautangazia umma kuwa masomo ya kidato cha tano tayari yameshaanza na nafasi bado zipo,kwa tahahusi za PCM,CBG,PCM &HGL.Kuna huduma zote muhimu na hosteli pia,Kwa mawasiliano piga 0762364740 au 0789443404.KARIBUNI SANA.
 
Back
Top Bottom