Nyegezi yafikisha viewer mil2

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Wameiondoa TZ bt duniani inaangaliwa YouTube km kawa....
VP wakiperfom nje ya nchi BASATA wanamamlaka ya kuadhibu?
 
According to makubaliano baina ya msanii na BASATA ni kwamba basata wanahaki ya kumfungia msanii asifanye chochote kinachohusiana na sanaa yake even kwenda nje ya nchi sababu ya sanaa. BADSATA IS KILLING BONGO FLEVA!
 
VIPI KAMA AKIONDOKA TZ AKICHUKUA URAIA WA KENYA

TZ MZIKI NDO BASI TENA
According to makubaliano baina ya msanii na BASATA ni kwamba basata wanahaki ya kumfungia msanii asifanye chochote kinachohusiana na sanaa yake even kwenda nje ya nchi sababu ya sanaa. BADSATA IS KILLING BONGO FLEVA!
 
According to makubaliano baina ya msanii na BASATA ni kwamba basata wanahaki ya kumfungia msanii asifanye chochote kinachohusiana na sanaa yake even kwenda nje ya nchi sababu ya sanaa. BADSATA IS KILLING BONGO FLEVA!
madogo waache kuimba matusi,nimepiga marufuku muziki kwangu sababu ya matusi,huo nyegezi hata siujui
 
wameshindwa kushawishi watu kwa tungo imara wamebaki kuimba mitusi tu..hakuna mitusi tena
We bado mtoto mdogo sana,unaijua chuchu sound? Unaijua Bata? Mtalimbo je?
 
We bado mtoto mdogo sana,unaijua chuchu sound? Unaijua Bata? Mtalimbo je?
eti mi mtoto..pengine nimecheza na mama yako kombolela,wenzao waliimba mafumbo wao mara paka mate mara nipe kwa nyuma,nifinyie kwa ndani..
 
sasa wanaangalia vp wakat hawajui kinachozungumzwa.?
ndo yale yale kwenye youtube unakutana na "am living in Paris 'n I dont knw swahili but I real lov ths song'
 
Wametukana lakini kavideo katam
 
According to makubaliano baina ya msanii na BASATA ni kwamba basata wanahaki ya kumfungia msanii asifanye chochote kinachohusiana na sanaa yake even kwenda nje ya nchi sababu ya sanaa. BADSATA IS KILLING BONGO FLEVA!
Acha ife aina lamaana kila wimbo ni mpenzi mpenzi hakuna kitu kingine!?? Hakuna kuhamasisha watu wajitume kufanya kazii, kusoma kwa bidii ,kuepuka utumiaji WA drugs,kila wimbo mpenzi *** them ifevtuu
 
Acha ife aina lamaana kila wimbo ni mpenzi mpenzi hakuna kitu kingine!?? Hakuna kuhamasisha watu wajitume kufanya kazii, kusoma kwa bidii ,kuepuka utumiaji WA drugs,kila wimbo mpenzi **** them ifevtuu
Mkuu km unategemea nyimbo ndio kuhamasishe ukafanye kazi basi unaitaji msaada sio bure
 
Wangewafungia miaka kumi wasijishuhulishe na music, wanataka kutuharibia kizazi.. Pumbav
 
Basata wanatumika kuupa kik huu mziki. Na haipiti wiki wataufungua. Au atarekebisha kidogo atoe clean verson. Lakin mi naiman basata wanatumika hapa kuupa kiki. Watu tumesikiliza huu mzik kutafta wap ulpotoa matus ila lengo lilikuwa sio kuusiklza au kuuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…