hii kitu haiwezekani
Anajidanganya
mambo ya photoshop?hii kitu haiwezekani
Hiyo photoshopmambo ya photoshop?
Nalog off
Hiyo photoshop
Mtu kunyooka hivi angani kama ndege ngumu sana bhanakitu laiv hicho mkuu..watu wana vipaji bhana
Mtu kunyooka hivi angani kama ndege ngumu sana bhana
Nimependa hako kabeibe na pussycat
he he he lol...Yaani nyau anapata shida sana ndani mkiwa na mtoto mdogo....nephew wangu humkalia juu kama punda lol....
aaah mtoto naye anapata kazi hujui,unakuta anakuwa anashika masharubu ya paka anang'atwaYaani nyau anapata shida sana ndani mkiwa na mtoto mdogo....nephew wangu humkalia juu kama punda lol....
umeona eh!Hiyo photoshop
aaah mtoto naye anapata kazi hujui,unakuta anakuwa anashika masharubu ya paka anang'atwa
uvumilivu unakuwa unamshindaWeee nae nyau siku nyengine humtia adabu maana huchoka mateso.
Tena wale watoto wasio waoga wanawavutaje...wanabaki na manyoya mikononiYaani nyau anapata shida sana ndani mkiwa na mtoto mdogo....nephew wangu humkalia juu kama punda lol....