NYARAKA za SIRI na MSITU wa MABWE PANDE

NYARAKA za SIRI na MSITU wa MABWE PANDE

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Malingumu, pamoja na mama, na bibi yake wakitoka hospital kumchukua Mke wake ambae alijifungua mtoto wa kiume. Malingumu pasipo kufahamu wakiwa njiani kuelekea nyumbani majira ya saa nne usiku walivamiwa na majambazi, walitekwa na kupelekwa katika msitu wa mabwe pande ambapo waliteswa hadi kuuawa wote isipokua mtoto ambae alikua amezaliwa mda mfupi uliopita.

Sababu ya mauaji hayo ni kwamba Malingumu alikua na nyaraka za siri za wizi wa fedha ya bank ya taifa ambazo zilikua zina mhusu Fisadi na ndie alie panga utekelezaji wa mauaji hayo yafanyike. Ikiwa ni alfajii ya majira ya saa 10 Nurse mwenye umri wa miaka 54, akiwa anaenda zamu hospital, njiani pembezoni mwa msitu alikuta fisi ameng'ata kitu kama mtoto ndipo alipo jaribu kumfukuza yule fisi na kujua ni kweli alichokiona ni sawa na anachofikiria ndipo fisi alipo achia kile kimzigo yule nesi kufika pale na kuangalia kwa umakin akabaini ni mtoto ambae hakua na mda mrefu toka amezaliwa akamchukua akamfunga vizuri yule mtoto akaenda nae hadi hospital.

Alipo fika hospital ali muhifadhi yule mtoto, iltokea dharula mida saa 11:30 alfajiri akitakiwa kwenda kutoa msaada katika chumba cha kujifungulia, kipindi wanaendelea na huduma akamtambua yule mwanamke alie kua anajifungua, alikua ni mwanamke alie mkana mjuu wake baada ya kukutana na Fisadi ambae walitumia pesa kumdhulu mjukuu wake na hadi kumsbabishia kifo, baada ya yule mwanamke kujifungua salama Nurse alimchukua mtoto ili kumtanguliza odi ya wazazi kwasababu hali ya mwanamke haikua nzuri baada ya kujifungua, ndipo Nurse akafanya kubadilisha akamchukua yule mtoto alie muokota na kumuacha odini na kumchukua yule alie zaliwa na kwenda kumuhifadhi.

Fisadi na mke wake alie jifungua ilipofika saa 6 mchana wali ruhusiwa hospitalini na kuludi nyumbani. Fisadi alimsomesha yule mtoto na ku muhudumia kila kitu akijua ndie mtoto wake amabae alimpa jina la Saramanda. Nurse nae alimsomesha na ku muhudumia yule mtoto ambae alimpa jina la Kichwa.

Saramanda alisoma na aliishi maisha mazui sana pasipo kuelewa ukweli wa maisha yake na historia ya maisha yake yeye alikua anajua Fisadi ndie baba yake harali nae Fisadi pia alikua anajua Saramanda ndie mtoto wake harali. Nae Kichwa alisoma lakini kabla ajamaliza masomo yake yule mmbibi ambae Nurse alifariki.Kichwa alifanikiwa kumaliza shahada yake ya shelia na kubahatika kua hakimu wa mahakama,l ,

Fisadi
akiendelea na dhuluma na vitendo vyake vya ubadhilifu aliikuta anatiwa hatiani na kesi kapelekwa mahakamani ambapo kijana Kichwa kutokana na utendaji kazi wake mzuri na kukubarika pale mahamani alikabidhiwa kuiendesha ile kesi na hatimae Fisadi alikutwa na makosa na kuhukumiwa adhabu ya kifo, kipindi hukumu inasomwa, mke wa fisadi alipo sikia ukumu ya kifo juu ya mme wake nae alipatwa na pressure na kabla ya kufikishwa hospital yule mama alifariki dunia. Nae fisadi siku ilipo fika alitumikia adhabu yake ya kifo. na wakawa wame muacha Saramanda peke yake.

Kichwa baadae aliamua kutafuta ukweli wa familia yake na kujaribu kuwa uliza hata watu wa karibu na Nurse ambae alimlea ndio akaja ambiwa ukweli na mmoja wa marafiki wa Nurse ndipo alipo baini kua hata alie mhukumu kifo ni baba yake ndipo Kichwa baada ya kubaini ukweli alimtafuta Saramanda na kumueleza uweli ulivyo, baada ya hapo Kichwa na Saramanda waliishi kama marafiki lakini Kichwa alikua akifikiria hukumu aliyo itoa kwa baba yake ilikua ina mtesa sana ndipo kichwa aliamua kumkabidhi mali zake zote Saramanda kwa madai kua anaenda nje ya nchi kwa mapuziko na atarudi. Kichwa aliamua kwenda kujinyonga katika msitu ambao wa mabwe pande nayo familia yao yote ikawa imeteketea. Saramanda..............
 
aaaah ngoja nifike kwangu nisome ila kuna mengi kuntu
 
nilivyoona mabwepande nimeshtuka kwelikweli....nikajua umekwama huko my sweetluv noahism
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom