Nyapi..... Kwenu yapo?

Nyapi..... Kwenu yapo?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
542132_415315308543802_230111204_n.jpg
 
kule kwetu tunayaita Maanyapi aisee umenikumbsha sijayala siku nyingi lol
 
Hahaha, hii makitu inaitwa matunduja aka nyanya pori. Bibi yangu alikuwa anapikia msele (mlenda flani tulikuwa tunauita wa spesho. Unakuwa unga tu, unakorogewa kwenye nyanya na kitunguu zilizopikwa kuiva na maji). Kitu ilikuwa delicacy ya kufa mtu (save the killed chickens).
 
utakuwa mzigua wewe, umesahau na tula/ngogwe
Hahaha, hii makitu inaitwa matunduja aka nyanya pori. Bibi yangu alikuwa anapikia msele (mlenda flani tulikuwa tunauita wa spesho. Unakuwa unga tu, unakorogewa kwenye nyanya na kitunguu zilizopikwa kuiva na maji). Kitu ilikuwa delicacy ya kufa mtu (save the killed chickens).
 
matungusha.
Bujibuji upo juu sana aisee.....longtime kweli.
ila mengine yanaleta kiungulia....!
siku hizi yameadimika sana. bujibuji wapi naweza pata mbegu zake pleaze?
 
Hapa home yapo kibao!!anayeyahitaji ani pm tu,sio kwa biashara lakini,matatu manne ntakupa tu free.
 
[Duh! Umenikumbusha ebitomasi! QUOTE=Gamaha;5422107]kule kwetu tunayaita Maanyapi aisee umenikumbsha sijayala siku nyingi lol[/QUOTE]
 
Kule kwetu Lushoto yamejaa tele! Twayaita magogwe! Hii ni version nyingine ya zile ngogwe!
 
Duh kule kwetu upareni yapo kibao yanaitwa Matunguja ila kijini kwetu kabisa yanaitwa Matomasi. sasa yapikiwe msele mlenda wetu upo kama unga wa kijani yani ni mtamu kwa ugali hakuna. nimeyamiss sana
 
Mkuu hayo matunda yapo menge sana mkoa wa unguja kule kwa bakari m sheni na jina lake ni madoriyani na unuko mkali sana
 
Back
Top Bottom