Nyanza Road works ni kampuni ya nani?

Nyanza Road works ni kampuni ya nani?

Nyanza ilikuwepo long time. Ofisi zake zilikuwa pale Bwiru kabla hata Mwanza barabara hazina rami. Mbona tunapenda sana umbea bila kufanyia kazi taarifa?

Zinaitwa stori za kijiweni. Unajua watu wakikaa wenyewe ni rahisi sana kulishana stori hadi wao wenyewe wanakuwa wa kwanza kuziamini...
 
Nyanza road ilikiwa inapewa shavu tangu magu ni waziri wa ujenzi na hao wahindi ndio walimbeba sana magu toka enzi za njaa kali.sasa ni lazima alipe fadhila. Ila kwenye kazi hawako vibaya, kazi zao nyingi zimetulia.
wazawa hao shida ikowapi mkuu unataka wapewa wachina tuwalipe kwa dolla
 
Nyanza road ilikiwa inapewa shavu tangu magu ni waziri wa ujenzi na hao wahindi ndio walimbeba sana magu toka enzi za njaa kali.sasa ni lazima alipe fadhila. Ila kwenye kazi hawako vibaya, kazi zao nyingi zimetulia.
wazawa hao shida ikowapi mkuu unataka wapewa wachina tuwalipe kwa dolla
 
Mureta mada,hiyo kamupuni ni ya Omar Al-Bashir,itafanyaje vizuri na mwenyewe hawezi kuisimamia yuko pale aripojenga mweenyewe na hataki kukaa.
 
CHADEMA MLIMCHAFUA RAIS KIKWETE NA FAMILIA YAKE SASA MMEKUJA KWA RAIS MAGUFULI....MTENDELEA KUFELI.

NYANZA ROAD WORKS LTD.
Registration Number: C1/0001/1/1998
Managing Director: SUBHASH PATEL
Types of Contractor: CIVIL
Class: 1
Category: Local
Town: MWANZA

Contacts
Postal Address: P. O. BOX 64
Physical Address: 105 BLOCK S, NYERERE ROAD NYERERE ROAD MWANZA
E-mail: nyanza@africaonline.co.tz
Phone: +255 028-2562409/2560963/2541025/2540500
 
Kama wanapiga kazi na zenye ubora unaotakiwa basi!

Ova
 
Tunapenda sana kuharibu image za wakandarasi, mbona barabara ya Yombo Buza walijenga vizuri tuu
 
Kampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!

Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Kuna wengine wanaitwa JASCO ni majanga!!!
 
Tunakoelekea mtawekeana SIMU mtandaoni kiss wivu sidhani MDA muafaka kujadili condom HII n ya NANI KAMA AIPASUKI NA INAKUPONYA NA UKIMWI WE ENDELEA KUTUMIA TU NDIGU
 
Watanzania ni watu wenye wivu, wazushi na wafitini. Wengi wetu ni maskini mno sababu ya kufuatilia mambo yasiyo na tija yoyote
Kumbuka kodi zetu ndo zinalipa hiyo miradi wewe shubhamiti
 
Watanzania ni watu wenye wivu, wazushi na wafitini. Wengi wetu ni maskini mno sababu ya kufuatilia mambo yasiyo na tija yoyote
Haya yanayoulizwa hayana tija? ingekuwa ile awamu ya 4, ningekuelewa. Nahisi bado unaamini wizi, misheni town, nk. ndo mambo halali ya maisha na wote wanaofuatilia kuyakataa, wana wivu. Siyo TZ ya leo.

Ondoa mawazo hayo maana baada ya miaka hii 10 wewe utakuwa una miaka 45, lakini vijana ambao watakuwa na miaka 20 - 25 hawatakuwa na mawazo kama yako maana hawajui maisha ya aina hiyo. Wewe utapata taabu kubwa!
 
Tunapenda sana kuharibu image za wakandarasi, mbona barabara ya Yombo Buza walijenga vizuri tuu
Mifano inayotolewa ni mingine, wewe unatoa mingine. Wakijenga ya Buza ndo kujenga barabara zingine zote?
 
Nami nimeangukia barabara ya Bunda, kule kwa Lugola. HAKUNA KITU. Kama walikimbilia huko baadaye waliondoka kwa amani kabisa na huenda pesa ilishapigwa zamani!!
 
Back
Top Bottom