mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,721
- 11,925
Kwa Patel umetaja wewe, Nyanza umetaja Mimi why utaki kuaminiPatel ndio Magu? Tuache kuchafuana haisaidii
Kwa Patel umetaja wewe, Nyanza umetaja Mimi why utaki kuaminiPatel ndio Magu? Tuache kuchafuana haisaidii
Siamini sababu najua ninachokisemaKwa Patel umetaja wewe, Nyanza umetaja Mimi why utaki kuamini
halafu wanakanusha kishamba sana !Mnapenda sana kukanusha
Na Mimi PiaSiamini sababu najua ninachokisema
Mmiliki wake amepanga magogoniKampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!
Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Hata gazeti la tanzanite ukienda Brela utakuta kampuni inayolimiliki inaonyesha Musiba ni mmiliki!Ukienda BRELA ukalipia maombi ya ukaguzi utapewa taarifa za kuhusu kampuni hiyo wakiwemo wamiliki. Humu hakuna Wa kukusaidia
Bana kuba ana hisa ndani yakePatel ndio Magu? Tuache kuchafuana haisaidii
Haaaahaaaa.....I wish people could know all these little things that are troubling them. Kinachosenwa sio kweli. 100%Bana kuba ana hisa ndani yake
Ni kampuni ya bosi no 1 mwenyewe, mwenyekiti mwenye serikali yakeKampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!
Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Acheni uoga na kutisha watu. Mmeshaenda BRELA kuulizia?
Siyo kishamba wanakanusha kimalayahalafu wanakanusha kishamba sana !
Mkuu kundi letu la vijana lina shida kubwa sana. Badala ya kupambana na hali halisi kujitafutia maisha bora, wivu na ujinga vimetamalaki kwenye mitandao. Mtu akiwa mvivu anadhani kila mtu ni mvivu mwenzake.Nyanza ilikuwepo long time. Ofisi zake zilikuwa pale Bwiru kabla hata Mwanza barabara hazina rami. Mbona tunapenda sana umbea bila kufanyia kazi taarifa?
Mkuu kundi letu la vijana lina shida kubwa sana. Badala ya kupambana na hali halisi kujitafutia maisha bora, wivu na ujinga vimetamalaki kwenye mitandao. Mtu akiwa mvivu anadhani kila mtu ni mvivu mwenzake.
Ni kampuni yangu Mimi YEHODAYAKampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!
Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Enzi za JF iliyopelekea bunge kuvunjwa wangekumwagia data hapa mpaka basi, kwa sasa waoga hadi uvunguni.