Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Huyo aliyefariki ni Mke wa tatu wa Babu yake mzaa BabaPoleni wafiwa.ni bibi mzaa mama yake obama au ni bibi mzaa baba yake obama?
Poleni wafiwa.ni bibi mzaa mama yake obama au ni bibi mzaa baba yake obama?
Kwani wewe ndio ulivumbua lugha ya kiswahili? Leta evidence kwa kamusi au ukae kimya. Malofa kama wewe mnaojifanya mlivumbua lugha ya kiswahili ilhali mlianguka somo la kiswahili shuleni.Huyo siyo nyanya, bali ni bibi. Nyanya ni mama wa bibi.
Anyways poleni kwa msiba familia ya Obama.
Asipokuja msiba hautanogaAnaweza kuja au akose maana corona nayo imeharibu mipango ya kawaida. Lakini I hope atakuja.
Kwani wewe ndio ulivumbua lugha ya kiswahili? Leta evidence kwa kamusi au ukae kimya. Malofa kama wewe mnaojifanya mlivumbua lugha ya kiswahili ilhali mlianguka somo la kiswahili shuleni.
Bila shaka Covid ndio imemuondoa au siyo ?Apumzike kwa amani nyanya, uzao wake umefanya makubwa duniani hivyo hana cha kujutia, wengine na sisi tuhakikishe siku tukizikwa tunaacha kizazi kitakachofanya makuu. Mpeleke mwanao shule, hakikisha elimu inakolea, lipa karo shilingi kwa shilingi, nunua madaftari na aina yote ya vitabu, mpe malezi bora, lishe bora....basi, mengine yaachie kwake Maulana.