Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Yaani hii video ya huyu nyanya anaelia imenifanya nitumie nyanya ya pakti kupikia leo....ooohh nyanya jamaniiššnimejihisi huzunii...
Ahsantee...ni nyanya tam ya kachumbari,.Pole sana.
Ni nyanya chungu eee....?
Ahsante kwa ufafanuzi na ukumbusho wa kachumbari kwa mlo wa usiku huuAhsantee...ni nyanya tam ya kachumbari,.
Usisahau tango kwenye kachumbari yako eehšššAhsante kwa ufafanuzi na ukumbusho wa kachumbari kwa mlo wa usiku huu
Kibamia jee...?[emoji41][emoji41]Usisahau tango kwenye kachumbari yako eeh[emoji39][emoji39][emoji39]
Mmhh hahaha kibamia na kachumbari jomoniii....weka tuu tango na karotiššKibamia jee...?[emoji41][emoji41]
Yaani hii video ya huyu nyanya anaelia imenifanya nitumie nyanya ya pakti kupikia leo....ooohh nyanya jamanii[emoji24][emoji24]nimejihisi huzunii...
Hujui utamu wa kibamia wewe.Mmhh hahaha kibamia na kachumbari jomoniii....weka tuu tango na karoti[emoji41][emoji41]
Impossible..ila nyanya kalia sana kwa uchunguušŖšŖTutaanza na nyanya, tutahamia kweny majani tunayoyakanyaga na yenyew tutaona km hatuyatendei haki kuyakanyaga wakat tunatembea, hata tungekuwa tunatembea hewani tutahis tunaonea kukanyaga hewa, tukirud kweny vyakula kila unachokula utahisi umeua utaacha kutumia vyakula kabsa, yan tutajihisi we are guilt for everything hatimae best option itabaki kujiua tuu ili tuyaachie uhuru mazingira ya dunia.
Do u think its possible?
Mwenza bando kwani shin'ngapi ???ššMwenza kwani umeniwekea bando[emoji57]
Impossible..ila nyanya kalia sana kwa uchunguu[emoji25][emoji25]
Naujua hasa kwenye mlenda...bamia tamm ooh yeahšššHujui utamu wa kibamia wewe.
Ukionja utajing'ata ulimi na kidole bude[emoji23][emoji23][emoji23]
Tumuhurumie nyanya usikute nayy ana watoto wanamtegemea..lolHizo ni editing tuu, tutaendelea kumla nyanya km hatumjui vilee, tunamla kona zote, kuanzia majumban mwetu mpk kwa mama ntilie.
Sina hata jero mwenzio.Mwenza bando kwani shin'ngapi ???[emoji108][emoji108]
šššuna nini sasa??hata efu moja mia 2 wako nae hana??Sina hata jero mwenzio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumuhurumie nyanya usikute nayy ana watoto wanamtegemea..lol
Sina ujue[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]una nini sasa??hata efu moja mia 2 wako nae hana??
Kuanzia sasa uache matango na uhamie kwenye utamu wa vibamiaNaujua hasa kwenye mlenda...bamia tamm ooh yeah[emoji39][emoji39][emoji39]