Nyani

Mbinu ishatolewa na mwanaJF mmoja.Mkamate nyani mmoja akiwa hai,mnyoe manyoya ya kichwani,mpake rangi nyeupe na nyekundu kichwani,mshonee kiroba kisha mvalishe.Baada ya kufanya haya unaweza kumwacha aji-mix na wenzie.Wale nyani wenzie watamkimbia mpaka kusikojulikana.
 
Jamani nini mtego wa nyani wezi
Kila nikipanda mihogo shambani kwangu wanachimba yote hata kabla haijakomaa

Na wananiotea inapoanza kukomaa tu hao wanavuna bila huruma
...Nilipokuwa Makutupora JKT nilipata dilii ya kwenda kufanya kazi kwenye bustani ya CO karibu ya mlima kitunda (kwa wale waliowahi kupitia makutu nadhani mnafahamu) wakati ule kulikuwa na nyani wengi sana kwenye ule mlima. Kwa hiyo tukiwa na makuruti wenzangu tulilazimika kupeana zamu asubuhi saa 11 alfajiri mtu awe amefika na jioni kuondoka ni almost saa 2 kasoro usiku. Tukakaa tukafiria tufanye nini? Tukapata wazo tukatafuta paka mkubwa tukamfunga kengele shingoni na kamba ndefu na ngumu kama mita 12 hivi kwenye njia ya yao nyani kwa hiyo ikawa nyani wanapokaribia bustani yule paka anakurupuka kwa woga wa kuogopa wale nyani sasa anavyotoka mkuku na wale nyani wakisikia kelele za ile kengele na paka anatoka mkuku mazee ilikuwa shughuli afterall paka anakuwa anakimbia haendi mbali maana anashikwa na kamba. The trick worked....Sasa sijui wewe kama unaweza ku-cpy na ku-paste hiyo.
 
Ushauri alokupa ngongo zingatia,nijuavyo kwa ukubwa huo unahitaji kama minne
mara nyingi wankuwa na direction ya kujirudia hivyo upande huo wanaotokea ndo mzuri wa kutega
hii mitego iko kama kitabu na hufunguka the same ila juu inakuwa na meno yenye mwingiliano ka ya mamba au pig
ukishafungua ina simple lock ambayo ndo unatumia kuweka prey whether mhogo au mhindi basi wakija wajifanya kuutoa
wameliwa.
angalizo: -lazima uufunike hata kwa majani wkiona chuma tu hawataugusa
-ni lazima uufunge kwa mnyororo mrefu na kufunga kwenye mti la sivyo
wanaweza ondoka nao mbali ukapotea au ukaibiwa

Hee hii kali tena! inauzwa wapi hii?
 
...Nilipokuwa Makutupora JKT nilipata dilii ya kwenda kufanya kazi kwenye bustani ya CO karibu ya mlima kitunda (kwa wale waliowahi kupitia makutu nadhani mnafahamu) wakati ule kulikuwa na nyani wengi sana kwenye ule mlima. Kwa hiyo tukiwa na makuruti wenzangu tulilazimika kupeana zamu asubuhi saa 11 alfajiri mtu awe amefika na jioni kuondoka ni almost saa 2 kasoro usiku. Tukakaa tukafiria tufanye nini? Tukapata wazo tukatafuta paka mkubwa tukamfunga kengele shingoni na kamba ndefu na ngumu kama mita 12 hivi kwenye njia ya yao nyani kwa hiyo ikawa nyani wanapokaribia bustani yule paka anakurupuka kwa woga wa kuogopa wale nyani sasa anavyotoka mkuku na wale nyani wakisikia kelele za ile kengele na paka anatoka mkuku mazee ilikuwa shughuli afterall paka anakuwa anakimbia haendi mbali maana anashikwa na kamba. The trick worked....Sasa sijui wewe kama unaweza ku-cpy na ku-paste hiyo.

Nimekupata, nimeipata pia
 
Back
Top Bottom