Nyani Ngabu's?

Nyani Ngabu's?

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,378
nyaningabu.jpg
 
Ha ha haa.. Bibie mimi kunyonya kidole kwangu haijawahi kuwa tatizo, tatizo lilikua ni utundu na uchafu, enzi zangu maza asingenivalisha nguo yenye rangi hiyo Aisee maana baada ya dk 5 usingenitazama mara mbili.
Ngoja nije PM
 
Huyo mtoto wa kiume au wa kike? Tuanzie hapo kwanza kabla sijauliza swali langu lingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom