katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM imeshinda mitaa/vijiji 60 dhidi ya 15 vya Chadema. na CCM ina wanachama wengi zaidi ya chadema, kule chadema haina structure ya chama bali ni some sort ya movememnt na siyo vingine.Unawezaje kuthibitisha hiyo nguvu ya CCM Tarime?
katika matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM imeshinda mitaa/vijiji 60 dhidi ya 15 vya Chadema. na CCM ina wanachama wengi zaidi ya chadema, kule chadema haina structure ya chama bali ni some sort ya movememnt na siyo vingine.
kama hujui maana ya umuhimu wa structure subiri utauona baada ya uchaguzi wa mwaka huu, sitaki sana kubishana nawe coz watu kama nyie yawezekana hamna hata ufahamu wa namna ya kushinda uchaguzi, mmekaa humu na kuandika na kufikiri ni mabingwa wa kujua kila kitu.structure ndo nini?mi naangalia nani anashinda uchaguzi mbona na structure yao walipigwa chini ubunge...
structure ndo nini?mi naangalia nani anashinda uchaguzi mbona na structure yao walipigwa chini ubunge...