Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,763
- 2,364
....
Nitaanza gym soon wakati ule kulikuwa hakuna broilerMabitozi wa enzi hizo walikuwa hawana Vitambi.
Kwa kweli walipendeza sana.
Kiongozi kwani wewe una Kitambi?.Nitaanza gym soon wakati ule kulikuwa hakuna broiler
Nimeanza kujiachia napata hasira kila nikiangalia kinavyokuja kwa kasiKiongozi kwani wewe una Kitambi?.
Mie mwenzio Mazoezi ni sehemu ya Maisha yangu
.Nimeanza kujiachia napata hasira kila nikiangalia kinavyokuja kwa kasi
.
Kiongozi fanya fanya.
Kitambi hakina Mapozi