Nyampulukano Sekondari Mpo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyampulukano Sekondari Mpo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katikomile, Jul 24, 2009.

 1. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nakumbuka sana enzi za Headmaster Banyenza ambaye yupo Ihungo kwa sasa, ilikuwa ni Speak english kila kona. Ilikuwa ni balaa ukiongea Kiswahili ukaangukia mikononi mwa Mwl. Ngeni ama mulokozi
   
 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mnh, nyampulukano iko mkoa gani hiyo?
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mkuu shule hii ipo wapi? Ndio kwanza nasikia jina hilo leo
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  du we mnyampu?

  we basi ni mtani wangu, maana nakumbuka siku moja tuliwazuia kupita eneo la seminary yetu pale, dada zenu walikuwa wanatutia najis sana.maan watu tulikuwa na wito kama gunia 60 hvi baadae wito ukawa haujai hata kifuniko cha kalamu!!
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  ngoja nimsaidie msela. hii shule iko mwanza wilaya ya sengerema
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkoa wa Mwanza, Wilaya ya Sengerema. Once upon a time nilikuwa shule ya "wanaume" sengerema - chaka kwa saaaaana!
   
 7. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  HEPI nyu hia Wanyamp!
   
 8. O

  Omumura JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Walikuwa wanabugia bangi hao, we acha tu!
   
 9. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hizi ni zile shule za kufaulisha mtu mmoja kila 25 yrs,so hawapo humu subiri 2023 utapata mwenzio!na hii thread mbona haipo mahali yake? japo ni ya last yr!
   
 10. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Du umenikumbusha mbali sana mkuu. Nakumbuka tulicheza nao mpira waha jamaa pale sengerema secondary
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahah lakini we Mnyampulukano mbona Avatar yako ..inanipa kigugumizi
   
 12. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni vitu adimu hivyo. Kuna jamaa alijaribu akavunjika ulimi.
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ..........Mhhhhh!! Hii shule ndio kwanza naisikia leo.
   
 14. O

  Omumura JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Chakula chao kikuu ilikuwa ni michembe,mwaikumbuka hiyo?
   
Loading...